kwa kikwetu....kipare habari tunasema. tha mithii[za siku] wa shithiaje[umelala je].ningependa kujua ki masai habari ya asubui....habari ya mchana na jioni mnasemaje.
Wengine wamekua waki refer Tanzania kama bongo na wengine waki refer Dar ea salaam km bongo, yote kwa yote, ni ipi asili na maana ya neno hili mpaka tukawa na vitu kama Bongo fleva na bongo movie?
habarini!
Kwa mnafahamu kimakonde naomba kuambiwa maana ya maneno hayo mawili. Mara ya kwanza nimeyasikia kutoka kwa mtaalamu Tongolanga kupitia wimbo wake wa 'baba na mama' na hivi sasa maneno...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:-
1. Kipaji
2. Kipawa
3. Karama
Natanguliza shukrani.
Katika taarifa ya habari Dira ya dunia BBC jioni ya tarehe 15/11/2021 mwadishi wa habari kutoka Kenya amesema watu kadha WAMEHEPA kutoka gereza fulani,Bakita mtusaidie
Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani
Na mtaniona mchana, sio usiku gizani
Mtaona ninayonena, kutoka kwangu kinywani
Na nitasimama tena, si ndotoni hadharani
Kwa akili nayasema, sijawa...
Habari wana Jukwaa,
Wiki hi kuna neno limekuwa likitumika sana na chombo Kimoja Cha Habari (Swahili Times), "Mwendazake" sielwagi wanamaanisha Nini Mwanajukwaa yoyote naomba anisaidie.
Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO.
Sasa...
Naomba kama kuna mtu anamfahamu mtu au mwalimu anayeweza nifundisha lugha ya kidutch please naomba mnisaidie mawasiliano au hata sehemu alipo.
Asanteni.
Hakuna kitu nachokichukia na kinachonikera kama kusikia kuna watu wana amini kuwa eti Ushairi umeendelea kwa sababu ya waarabu na wengine kwenda mbali zaidi na kusema Kiswahili ni kiarabu na...
Neno Stationery huwa mara nyingi huandikwa Stationary. Sehemu nyingi ilipo Stationery inaandikwa stationary.
Maana;
Stationery-duka la vifaa vya shule na elimu.
Stationary-kusimama au kubaki pale...
Nakumbuka miaka ya 80s - 90s wakati nakua nlikuta maneno ya zamani baadhi ni kama kuita Polisi, Mamwela au Manjagu na Mapongo sasa hv tunawaita Tigo au....Wanawake zamani tuliwaita Ngaya.
Kufanya...
Hili tunda linaitwaje kwa Kiswahili? Je? Linapatikana Tanzania.
Kwa waliowahi kutumia hili tunda, lina ladha na harufu ya namna gani. Lina virutubisho gani au madhara gani?
I am looking for a "FLUENT ENGLISH SPEAKING PARTNER(S) "
Hello forum members, I hope you are doing great and those going through various challenges the Almighty God shall grant you strength...
Nipo nasoma sheria zenu, Penal Code (2019) inakosa kidogo kwenye kiingereza limetumia neno 'Parson' badala ya 'Person' katika Ibara ya 176
Neno person ni tofauti na Parson
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.