Nimeangalia hii documentary ya mazishi ya Savimbi, nikagundua kuwa kuna wakati (kuanzia dakiaka ya 3:29) walikuwa wanaimba wimbo wa kwaya kiswahili. "Mungu ni Mwema". Je nako wanaongea Kiswahili?
Motive behind this is to see whether JFers can actually write and speak (post an audio if you can) in English.
There has been a lot of shouts recently considering the minister's English language...
Wengine tuliobaki ,tunjiani twasogea.
Mkapa ameondoka, katu hatorudi tena.
mengi ametufanyia kwa hisabu sikumbuki
Mkapa ameondoka katu hatorudi tena
Kama wanafunzi bora,tuyasome yake mema.
Mkapa...
Karudi baba fulani, toka safari ya nje
Kavimba yote maini, na kucheua punje
Wanae wakaleta ubani, ili kuepua njenje
Wakataka na madini, yawafae nje nje
Akatamka mtumbua, nimevimbiwa kwelikweli...
JUMAPILI 20.5.2012
Ilikuwa ni muda wa saa nne mchana, nikiwa nimeketi nje ya nyumba yangu nikipata Vitamin D asili kupitia Jua la asubuhi. Ghafla, akaja Rafiki yangu Tuntu niliesoma nae pale chuo...
Wadau lipi neno sahihi kati ya..
1. "Mbaka" au "Mpaka"
Mfano mtu aseme.....
"Mbaka sasa hakuna mshindi katika Pambano hili"
au
"Mpaka sasa hakuna mshindi katika pambano hili"
Yupi yuko...
Anaitwa RSM KIMANI ni mkufunzi wa shule ya mafunzo ya kijeshi huko Kenya (RTS) ambaye kwa sasa taarifa zinasema Kamanda huyo ni Marehemu.
Nchini Kenya hili neno "KIMEUMANA" linatumika sana
Habarini za usiku wanajamvi?
Ni taasisi au chuo gani kwa hapa Arusha kinatoa mafunzo ya lugha ya kiingereza kuanzia cha kuongea na kuandika kwa vitendo zaidi, Na iwe inatoa mafunzo hayo kwa muda...
Ndugu wadau hivi karibuni kumekuwa na matumizi makubwa sana ya neno chawa,najua chawa halisi (waliowafuga) wengi mnawafahamu ,je ni sawa jamii kuitana chawa ili hali chawa ni mdudu.
Tafsiri isiyo...
Wakati wa mfumo dume haikutegemewa kama mwanamke atakuwa Rais wa nchi.Tanzania tumebahatika kuwa na Rais mwanamke.Je anaitwa Mrs President? Wataalamu wa itifaki tujuze
Wapenzi wa lugha ya Kifaransa. Naamini JamiiForums ni jukwaa kubwa la wabobezi na wa Somi wa fani nyingi.
Kwa hiyo Kila mdau ni mwalimu ajae na Mwanafunzi wa leo. Michango yetu ijikite ndani ya...
Mara nyingi nilikuwa nasikia kwa vijana vijiweni Luna mchongo pale.
Nikaja kusikia mgombea Fulani anawambia vijana nitawapa michongo.
Jana nimesikia mahakamani Michongo.
Nini maana halisi ya...
TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI
1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani.
Azimio hilo limepitishwa na nchi zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.