Nilikuwa namsikiliza Ahmed Ally wa Simba akihojiwa clouds FM. Jamaa ana kithembe kikali sana. Anasema Thimba live bila chenga.
Hapo akaja mtu anatangaza Ndondo Cup. Anasema watacheza "Kinethi" na...
Picha yake Mwanahashima binti Sheikh. Shairi la Mwana Kupona lilitungwa ili kumnasihi jinsi ya kuwa mke mwema. Shairi hili lilitafsiriwa 1934 na Alice Werner na William Hitchens kwa mada ya...
Kigezo kipi kimetumika kutoa Taarifa ifuatayo.??
"AMUUA MKE WAKE NA KISHA YEYE MWENYEWE KUJIUA."
Kupitia kauli hiyo tunaweza kuwa tunamlinda muhalifu bila hata kufahamu.
Ukifanya Tathimini...
USICHEZEE BAHATI.
Wewe si mzuri sana, punguza kuniringia
Wazuri nimewaona, sura zao zavutia
Na mengi wewe hauna, ila nimewakimbia
Moyo umekuchagua, kwako nikama bahati..
Wangapi wamenitaka...
Naongea Lugha mbili ambazo almost kila mtu wa EA anaongea (Swahili and English)
Ningetamani kujua Lugha hii ya wenzetu kama lugha ya tatu, Maana naikubali na nimefuatilia inaongelewa na nchi zaid...
We always experience deaf communicating through the use of sign as we name Sign Language. Every sign used by deaf in different countries are different from one county to another due to the...
Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) ambayo ni kamusi kubwa zaidi ya lugha ya Kiingereza imeongeza maingizo 200 mapya na yaliyosahihishwa kutoka Kiingereza cha Afrika Mashariki, ambayo kimsingi...
Kuna demu hapa Anatumia ooh! my God vibaya, nimemsifia ana kucha nzuri na vidole(Hand)
ety kakaanza na ooh! my God 😅😅😂
Tumia kwenye vitu kama , Watu wanne wamesagwa na kata Pila, au vitendo vya...
Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Sheheni za siraha, dunia uwanja wa fujo,
Atomiki makombora, jehanamu ya fumbo,
Kisiwa cha miba, wenye nguvu ulimbombo,
Utu umetoweka, mauaji kila uchao.
Kiburi chao pesa, zilizofungwa kwenye...
Kwa nini 7/7 na si tarehe nyingine?
Tarehe iliyopendekezwa ya siku ya Kiswahili duniani ni tarehe 7 mwezi Julai kwa kuwa katika tarehe hiyo mwaka 1954 ni siku ambayo chama cha Tanganyika African...
Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya...
MAADHIMISHO YA KWANZA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 07/07/2022: MUSTAKABALI WA TANZANIA NA KISWAHILI NI UPI?
(Muhtasari wa masuala muhimu niliyohojiwa katika kipindi cha Stimela cha TBC FM tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.