Hi to all my dearer friends,
Kiswahili classes for foreigners and English for Tanzanians through Online (Zoom) still continue, What are you waiting for? Come and learn the language for your...
Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa...
Hapa wadau
Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala,
Mfano ule wimbo wa...
Tangu tunazaliwa, makuzi yetu, shuleni, hadi utu uzima, lazima Kuna neno au msemo bado hujapata mantik yake Hadi leo, kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana midemo, nahau na maneno...
Penzi lako nili tamu,kwako nipo taabani
Penzi aliishi hamu, limeingia damuni
Hii sasa yangu zamu, kufurahi Duniani
Nimeipata bahati, kupendwa na Malaika.
Penzi lako kama nuru, linanitoa gizani...
Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?"
Riwaya zingine nzuri ni kama gani?
Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania...
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina.
Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza...
Sheria
Niwaandikie tenzi, au naliwe shairi
Mpate na kulienzi, na mtoe ushauri
Mimi naitwa mkwezi, nasema nilofikiri
Naomba kuwauliza, machache kwa hizi beti
Na mpate kunijuza, haraka niende beti...
Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia?
Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
Msenge (kwa Kiingereza: Transgender) ni aina ya watu ambao hujisikia, hujifikiria na kujiona au kujiigiza tofauti na jinsia zao za kuzaliwa nazo. Kundi hili dogo hujumlisha watu wanaokusudia...
Wandugu!
Nimekuwa nikisikia sana kuhusu hii kitu inayoitwa karma ikihusishwa na kutenda mabaya tu. Namnukuhu mtu mmoja akisema "I'm letting karma do his dirty job!"
Karma ikoje? Nini maana yake...
Nimekua nikisikia mara kwa mara wachambuzi mbalimbali hasa katika vyombo vya habari ikiwemo Televisheni na Radio wakichambua kuhusu mada za ukuaji wa lugha ya Kiswahili kama vile kuongezeka kwa...
Kilicho Chako ni Chako
1
Nasema yalo nisibu, ukweli nawaeleza.
Sitaki niwe ja bubu, na nyie mkateleza.
Mkapata masahibu, leo hii nawajuza.
Kilicho chako ni chako, vya watu vina maneno
2...
Maana ya Riwaya kwa ujumla
Riwaya ni masimulizi ya kubuni ya kinathari yenye msuko au mpangilio fulani wa matukio au ploti inayofungamana na wakati au kusawili wakati na yenye visa vingi...