Nimesikia ktk ITV leo na hata katika mijadala mbalimbalia kuhusu uimara wa kiswahili na tatizo linalosababishwa na Kiswahili.
katika akufuatilia nimeona tatizo si Lugha na hata kama lingekuwa...
Hutokea mara nyingi watangazaji wakisema "habari za kimataifa" au "habari za kimichezo" ni sahihi? Mimi nadhani ingekuwa "habari za mataifa", na "habari za michezo". nisaidieni lugha wandugu.
wataalam wa lugha naombeni ufafanuzi wa nini maana ya feed back?kwani nimemsikia mtangazaji wa tbc taifa,anasema kuwa mic zimeleta matatizo ktk ukumbi wanaofanyia mkutano chama cha mapinduzi...
Hi
I am the university student really in need of the soft copies of the books; Translation Theory into Practice, The Modern Translations and Church Translating Paradigm (2nd Edition).
I have...
Kuna watu wanatabia ya kuongea kizungu au wanachanganya changanya kiswahil na kizungu ili tu waonekane wajanja au wasomi au tu kupenda sifa. anaona ataonekana mshamba akiongea kiswahili moja kwa...
1.Ushamba ni kuwepo ktk onyesho flani la Bendi maarufu ya mziki wa Dansi,unampatia pesa kiongozi wa Bendi au rapa ili jina lako litajwe mpaka mwisho wa onyesho kuwa "Papaa Masaburi Makubwa" yupo...
Jana kwenye SkyNews niliona burudani ya kutosha kutoka kwa mwana mama mwaafrika ambaye ni mtaalamu wa lugha kwa ishara,alivyokuwa anaonyesha alama kwa vitendo na kwa hisia hakika ilinisisimua...
WanaJF.
Nipo kando ya TV ninafuatilia majadiliano bungeni. Ninaona waheshimiwa kadhaa wananadai nchi hii itaendelea iwapo Kiswahili kitaenziwa. Ninatambua umuhimu wa lugha kama chombo cha...
Ni mengi yamesemwa kwamba tumekuwa watumwa kwa kuchukua lugha za kigeni na Kikoloni.., wengine wamefikia hatua ya kusema kwamba kwanini Kiswahili kinatumika mpaka darasa la saba na kwanini...
Wadau,
Majuzi hapa wakati wa-Japan wanakumbuka wenzao walipoteza hali, mali na nafsi katika tsunami ya mwaka uliopita Mh Rais Mkapa alikuwa ni katika wageni waalikwa ambao walikaribishwa jukwaani...
Wakuu, mimi nina utata kuhusu lugha yetu, mnisaidie mantiki yake. Kuna taratibu mbalimbali ktk shule mbalimbali hapa nchini ambapo mwanafunzi analazimika koutumia lugha ya kiingereza hata kama kwa...