habari wakuu!
kama mnavojua hii lugha ya waingereza ilivokuwa ngumu hasa kwetu tuliosoma st Kayumba.. Naomba mwenye GRAMMAR CHEKING(CORRECTOR) software anisaidie. asante
Obama
Barack mwana Obama, ushindi nakutakia
Na pia uwe salama, hilo nasisitizia
Najua si lelemama, kwa Mungu nakuombea
Ushindi twakutakia, Barack mwana Obama
Ushinde hiyo Novemba, wabaki...
Je unataka kufahamu au kuboresha lugha ya kiingereza? tunafundisha lugha ya kiingereza kwa matamshi ya kiingereza au kwa matamshi ya kimarekani. karibu kwa ajili ya huduma hii bei yetu ni nzuri na...
Hello wadau wa jukwaa hili,ningependa kushare information kidogo on Phrasal verbs.Hizi zinakuwa kama nahau kwa kiswahili,namaanisha maneno yaliyotumika yanakuwa na maana tofauti na ile tuliyoizoe...
Wanabodi,
Hebu leo tujadili mwelekeo wa lugha ya Kiswahili na hasa tukiangazia ukuaji wake kwenye msamiati na istilahi. Tunatambua kuwa lugha ya Kiswahili (pamoja na ukopaji na utohoaji...
Swala linatumika sana Tanganyika ingawaje siku za karibuni nimeona matumizi ya suala badala ya swala yakiongezeka sana Bara. Wenzetu wa visiwani wanatumia suala.
Kuna maneno mengi yana tofauti...
Napenda sana kusoma yale tunayoandika humu JF (Pamoja na mabandiko yangu) na wakati mwingine hujipa muda wa kutafakari kama kweli sisi kama ndiyo wahifadhi na wamiliki halali wa Lugha ya kiswahili...
wadau ni hivi naomba kuuliza maneno haya katika vyuo mbalimbali vya mafunzo ya kijeshi yana asili ya wapi kama vile KADEBLA,DOSO,nk mengine mnaweza ongeza
Kuchambwa au kuchamba
naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho
je ni neno sahihi nje ya toilet?
na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?
Morning JF People na wakereketwa woote
Jamani, as u know JF is not only the home of great thinkers kama mm but pia ni kituo cha kupata maarifa na kujifunza mambo mbali mbali..sasa mm nimeamua...