Nisaidieni tafsiri ya kiingereza kwa maneno haya
kufuga nywele
kibanio cha nywele (cha akina mama)
nywele za kipilipili
kipara
mba (wa kichwani)
kunyoa nywele kwa wembe
kusuka nywele...
Wanajamvi.
Maneno haya kwa kimombo nadnai ni effective na effincieny. Lengo la uzi huu ni kuleta mjadala na changamo ya kueleta uzi huu ni
kuyafafaua kwa mifano hai tunayoona , tunayotumia...
Unaweza kumuona mwenzio mwenda wazimu kumbe wewe ndio ndio mheshimiwa wao
Nani mwenye makosa ya lugha kati ya mgonjwa na Dr?
Kwa hisani ya gazeti la uwazi
Naomba kusaidiwa ufafanuzi baina ya maneno haya mawili :
1. Repeat
2. Again
sijakurupuka ktk kayauliza nimeshayafanyia uchunguzi wa kina nakuta mwishoe ktk matumizi yanaleta tendo la...
On my 2nd year Studying Medicine nilipokuwa napata time mostly weekends nilikuwa na hudhuria darasa la philosophy and this Novel was recommended na Professor
SOPHIE'S WORLD
A Novel About the...
kuna tabia iliyozoeleka ktk jamii yetu kwa mfano mtu ana nguvu kwenye mkono wa kulia.akifany kitu kwa mkono wa kushoto anasema huo sio mkono wangu au huo sio mguu wangu.hii kiuhalisia si sahihi...
Kuna msemo ulivuma sana siku za karibuni hasa baada ya Cameron kutoa order ya ushoga....na hii inasemwa kuwa iliwahi kusemwa na JK wakti anafungua bunge baada ya uchaguzi wa 2010 "UKITAKA KULA...
Wana JF hapa tulipo mda si mrefu 2011 gudii bayy itakuwa sio mbaya ukajumuika nami kwa kutuabarisha mjadala upi ulio faidika kwa namna moja au nyengine a.k.a uligusa hisia na kuelimika na nani...
nimuandishi naempenda kuliko wote! nimesoma vitabu vyake vingi sana, lakini mpaka leo naamini novel yake ya. "MASTER OF THE GAME" ndio bora Kwangju. ww unapenda novel gani? thanks alot guys.