huwa nakereka mpaka basi. Wanasema waungwana, uongo ukirudiwa sana huwa ukweli. Mbaya zaidi upotoshaji huu huanzia studio na vituo vya redio na tv. Msanii anasema 'hii nyimbo yangu nimeirekodia...
Salaam JF!
Haya maneno nimekua nikisikia mara kwa mara yakifikisha ujumbe.
Je ni sahihi?
1-Anajitia (huyu kaka anajitia haelewi).
2-Anajifanya (huyu msimamizi anajifanya haoni)...
sehemu mbali mbali hapa Tanzania nimekuta
tangazo ''TUNAUZA MKAA''.
Unapoandika unauza MKAA inamaana unauza kipande kimoja.
Ila neno fasaha linalotakiwa kutumika hapo ni ''TUNAUZA MAKAA''...
Kuna haya maneno ya kiswahili yananisumbua sana tangu nasoma hadi sasa,nitofautishie tafadhali hata kwa sentesi.
1.Kuona
2.Kutazama
3.Kuangalia
Mfano,
.Juma alienda kuangalia mpira
.Juma alienda...
Mie najivunia sana lugha ya kiswahili. Ni lugha yenye sarufi ya uhakika (ingawa ngumu) na ndo lugha iliyosaidia kujenga umoja wa watanzania.
Lakini kwa bahati mbaya sana hivi karibuni umeibuka...
Subra ni nguzo mama ya kuishi duniani. Subra ni jambo jema, analipenda Manani. Subra huwa daima ni funguo ya amani. Subra ni fimbo njema ya kumpiga shetani. Subra chanzo cha neema kwa viumbe...
where is the best centre which teaches properly swahili language?..i need to learn it..or if there is a swahili language teacher..he/she can communicate w4th me...
Ahsante!!!
1.mtoto amelalia maziwa.
>mtoto kalala juu ya maziwa.
>mtoto amekunywa maziwa kama mlo wake wa usiku.
2.shangazi ametuletea mbuzi.
>shangazi kaleta mbuzi mnyama
>shangazi kaleta kifaa cha kukunia...
Leo nikifuatilia mdahalo wa mchakato wa katiba uliorushwa na star tv, nilimsikia Paschal Mayala akisema baada ya kupewa kipaza sauti... "Kwanza naomba ku declare interest" halafu akaendelea "mimi...
Hamjambo!
Ninaandika hapa kwa mara ya kwanza, kwa hiyo tafadhali unisamehe nikifanya makosa ya aina yoyote!
Kwa kawaida ninashindwa kuelewa maneno ya nyimbo za Kiswahili (za lugha yoyote, kwa...
ninavyofahamu mimi neno malaya (prostitute) NI mpenda ngono zembe. Wamalaysia pia wanaitwa malaya. sasa wataalam naomba msaada ni sahihii kwa malaya wa kimalaysia kumwita malaya wa kimalaya or...
Wakuu habari zenu nauliza swali langu kuna tofauti gani kati ya haya maneno ya kiingereza Mtu kusema hili neno (I love you) au kutumia neno hili (I like you) nawaomba munijuze Wakuu.........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.