1.Format of the exam.
2.Neat & negligible work ie good h/writing+proper work arrangement
3.Make sure you understand the questions first before you attempt
4.Write the quotations whenever...
Enyi magwiji wa Lugha ya Kiswahili, mnaweza kulifumbua fumbo hili?
"Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu hutegemea uhai wa
mtu mwengine."
Well begin with a box, and the plural isboxes. But the plural of ox becomes oxen, not oxes. One fowl is goose, but twoare called geese. Yet the plural of moose should never be meese; You may find...
Nimekuwa nikiangalia baadhi ya maneno kwenye mtandao na nimeshangaa sana kukuta baathi ya maneno karibia lugha zote za duniani huyatumia. mfano:-
Mama karibia lugha zote duniani hulitumia neno...
BRUSH PASS
A "brush pass", also known as "brush contact" is the term used to describe a brief moment where two agents 'meet' and quickly exchange information, documents, and/or equipment...
Wana jamvi kwanza niwape pole kwa msiba wa mwenzetu na mpendwa wetu dada Regia Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Pia naomba kujua tofauti iliyopo au zilizopo kati ya Mashuhuri na Maarufu...
Wakuu hebu tujikumbushe tungo zenye utata katika lugha yetu nzuri ya kiswahili,,,,,hii inamana kuwa unawseza kuwa na sentensi moja yenye maana zaidi ya moja. Hizi tungo ni za zamani sana hivyo...
Wanajf nina jirani yangu kwa kweli ananikera sana kwa matusi yake nje na ndani ya familia yake mwenyewe! Najua hata humu watu kama hawa wapo hivo tuwape somo waachane na matusi.
Jirani ana...
Kwanza niwakumbushe wanaJF wenzangu kwamba mustakbali wa nchi hii upo mikononi mwetu wenyewe, wala hakuna mgeni atakayefikiri na kufanya maamuzi kwa niaba yetu-kwa manufaa yetu. Sote tunafahamu ni...
Nipo moshi na ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi.Sasa natafuta watu watakaopenda kujifunza Kuzungumza,kuandika na kusoma lugha ya kiitaliano
au kihispania.
Samahani wana JF Kunamaneno fulani ya kiswahili yamekuwa yakinichanganya.
-Neno Kukoga na Kuoga.
Mimi nahisi neno kukoga linatokana na neno mokogo. Lakini neno hili kukoga limekuwa likitumiwa hata...
Nimeona nianzishe uzi wenye mada za kufikirisha katika maandishi na kudadavua maana ya maandishi yenyewe. Kwa kuanza naanza na mada ya njaa.
Ni nadra kutokukubali kuwa kuna uhaba wa njaa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninaipenda sana nchi yangu na vitu vake vilivyomo. Ninajisifu kwa kuwa na nchi yenye lugha yake yenyewe tofauti na nchi zingine zilizo kubali kurith lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.