Waziri magufuli alisema "watakaoshindwa kulipa nauli ya kivuko wapige mbizi kueleke upande wa pili" .
Alikosea! Maana ya kupiga mbizi ni kuzamia majini (kizungu'dive').
Neno sahihi ni kuogelea...
Leo nimempata Ngeleja akisoma hotuba, aibu. embu soma zikiza hii.. the the the the..... Lawrence Masha (waziri mambo ya ndani) yuko juu sana kwenye kiingereza
5. Opening speaker Minister William...
Wanajamvi imebidi niulize maana katika jukwaa letu hili kila mara naona neno masaburi linatumika sana lakini bahati mbaya nimekuwa nikilielewa kutokana na jinsi lilivyotumika. Leo katika mada moja...
Wana JF naombeni msaada...ni neno gani sahihi?
a) I would like to congratulate you for this great achievement.
b) I would like to congratulate you on this great achievement.
Wana jamvi,haya maneno yananitatiza!
Je mnyama wa kulinda nyumba ni "mbwa" au "mmbwa"?
yule mdudu anaeneza Malaria ni "mbu" au mmbu?
Unapotoka ndani unaenda "nje"au "nnje"?
Msaada tafadhali!
Published On: Mon, Jan 2nd, 2012
Tanzania |
ETS representative, Kuda Nhiwatiwa
Tanzanians wishing to work abroad will now easily sit for a world recognised English language proficiency test...
Hamjambo wanaJF wote? Leo naomba wale wadau/wakereketwa wa lugha ya kiswahili mnisaidie hili. Kuna tangazo moja la biashara linanipa shida sana. Tangazo hilo linatolewa kwa kiingereza, halafu...
Habari wakuu? Kuna watu wengi wanajifunza kifaransa ila wanakosa kwa ku-practice. Nawakaribisha kuchangia katika post hii kwa namna yote ile, nitawasaidia ku-advance na kurekebisha makosa madogo...
Kuna Boss wangu hapa Ofisini, Mjerumani, tangu asubuhi ananisumbua anataka kujua hilo neno kwa kiswahili ili amtumie rafikiye salam za sikukuu ya Christmas kwa kiswahili...
*HAVE MY WORDS*
Have my greatings my dear.
Whatever you are we still together.
Me from littoral am well better.
My text is like invader.
Please take it,is just a nugget.
Am very happy but am...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.