Jamani nisaidieni hapa naonaga watu wakibishanaga kwamba haya maneno ni tofauti................mimi naona nikifa nitakua Maiti tu, full stop.................
wadau hivi vitabu vya hadithi za asili ya China kuna sehemu vinapatikana hapa nchini? mojawapo kati ya vitabu kadhaa nilivyowahi kusoma ni ''Hekaya za kale za China II'' kilikuwa na mkusanyiko wa...
Please i wish someone can help me understand some of this words,
My girlfriend has been sending and receiving texts from a certain guy and some words they use i do not understand.these are the...
Halow ! My fellow Jf Membars.
THE PRODUCTION OF THE SOUND OF SPEECH .
Niko katika cafeteria maarufu hapa mjini.
Nimeingia humu kwa shabaha ya kupata ka'gilasi ka'Juice na vijibajia...
Habari zenu waungwana,
Naomba kuuliza je kipi kati ya sentensi zifuatazo ni fasaha
1)Safari ya mjomba imeahirishwa
2)Safari ya mjomba imeghairishwa
3)Safari ya mjomba imehairishwa
Wajumbe wa jf.
Jana mbunge Tundu Lissu alilitumia bugeni,leo mchana mwanasheria kamkosowa kuwa hilo neno alipo.
Nimeangalia kwenye dictionary hili neno linamaanisha kundi la watu linalo jadili...
Hakuna salamu ya "shikamoo" kwa waswahili wa Nairobi, kiswahili chao kinachukua sana tafsiri ya moja kwa moja ya Kingereza kwa maneno mengi.
Ni Mombasa pekee nimebahatika kupata salamu ya "shikamoo"
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wengi wanapozungumzia kubadilishiwa gari wakiwa safarini wanatumia neno FAULISHA wakimaanisha kitendo cha kubadilishiwa gari walilokuwa wakisafiria awali...
Poem hii nimeipata kwenye Facebook page ya Isangula: https://www.facebook.com/isangulak/posts/10150575537726768?notif_t=like
WELCOME TO TANZANIGHTE
Welcome to Tanzanighte, that is not so far...
Jamani kama kuna mtu anajua asilimia ya watanzania wangapi wanaoongea kiingereza anisaidie kwa hili swala., nipo kwenye project ambayo hilo swala linahusika...! Plzzz
Katika tafsiri ambazo naona kila mmoja anaongea lake ni maana ya itern doctors
baadhi wanasema madaktari waliokuwa kwenye mazoezi ya vitendo ingawa tafsiri ndio naona kama imefanywa rasmi ila...
Songea nikakutana na Nguluwe pamoja na aliekuwa kilanja wetu enzi zile sasa Mh Komba bin Ngonyani..
Mkuranga nikamkuta mwenyekiti wetu wa baraza la kufumua madudu Bibi Chawatu bint Shomvi
Naelekea...
The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Hon Bernard Membe (MP), on Thursday launched the first Kiswahili class at the Language Centre of the African Union where he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.