kati ya mambo ambayo binafsi yananiuzi katika nchi hii ni haya ya kuyapa majina mazuri maovu.nitatoa mifano michache:
WEZI=MAFISADI
RUSHWA=TAKRIMA
HAWARA=NYUMBA NDOGO/bwana wangu/boyfriend...
Kila nikikutana na maneno haya katika shughuli zangu natatizwa kupata kiswahili sahihi:
Vision
Mission
Assumptions
Objective
Goal
Activities
Outcome
Output
Risks
Naomba msaada
Msaada plz nipeni maneno yafuatayo in English.
-Chenza
-Filigisi
-Makongoro
-Kidumu Chama Cha Mapinduzi
-Ungo wa kupepetea mchele.
-Chapati
-Mishikaki....
Mbali ya lugha kuwa kitambulisho kkubwa cha utamaduni wa jamii yyte duniani,china japan nk. Wanahakksha kila wanachozalisha kinakuwa na lugha yao ingawa wanaweka na kngereza.Pia ss ni mashuhuda wa...
Habari wana JF.
Naomba nidadavuliwe kuhusu hili.
Hivi wale wanaosikika kwenye Muvi za Yesu Kristu ambao wametafsiri lugha na kutamka maneno yaliyotamkwa na Yesu kwa Kiswahili ni wa Tz au...
Ninataka kujua juu ya matumizi ya maneno haya WANGU,WAKE na ZAKE,ktk matumizi yafuatayo Mke,watoto, mme,changanyiko ni kama mke ni mmoja huwa ni mke WANGU lakini mtu akiwa na wake wawili huita...
Nini hasa maana ya utamu? Kama ni ladha yenye sukari, mbona kuna wakati hata vya chumvi vitamu? Kama utamu huwa kwenye chakula, mbona kuna wakati hata visivyoliwa vitamu? Kama utamu ni faraghani...
Kuna baadhi ya watangazaji wanakera sana,hivi hata hili dogo linahitaji kushikiwa bakora?utakuta mtangazaji badala ya kusema wimbo anatamka 'nyimbo'! kwa mfano,"nyimbo hii aliitunga mwaka...
Consider this sentence
In an Island called Iceland where I live there was a live event in the night when a knight fought a bandit.
There are various words with same pronunciation but different...
naomba maana ya haya maneno,tabahari,bubwi,zikua na tobwe.Halafu napenda kujua yafuatayo,wema kwa lugha ya kishairi unaitwaje?,kitabu kilichopigwa chapa,Kibuyu cha kutengenezea siagi,pembe ya...
Niikuwa nasoma habari za michezo Kwa lugha ya kingereza mtandaoni.
That was a proper old-school bonkers stamp, wasn't it? Fuller made no attempt to disguise his actions, exacting the full force...
nimeona bango limeandikwa mrs Catherine Ruhiza, ukiandika mrs ni sahihi kuandika Catherine au just mrs Ruhiza? halafu mtu anaweza kujitambulisha na kusema am mr Red Giant! unaweza kujiita mr au...
Nasikiliza clouds fm,yupo msanii anahojiwa.Ni Cindy muimba bongo flavour, kila baada ya neno moja au mawili anaongereza tena kibayaa! Anakera ile mbaya! Msiwe hivyo waswahili! Tena ni mmatumbi!
Wanajamvi
Nina swali la kutaka kupata ufafanunuzi wa mipaka, tofauti na sifa kati Mother tangue( lugha ya mama) na 1st language ( lugha ya kwanza)
Mfano mitatu tofauti ni mimi ni Mgogo:-...
Habari zenu wanajamii,najua hili ni jukwaa la waungwana naomba kuelimishwa kuhusu hili,kati ya lugha ya kiarabu na kiswahili ni ipi imecopy maneno kutoka lugha nyingne maana nimegundua lugha hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.