Ninavyoelewa origin ya neno "hayati" ni kwenye lugha ya Kiarabu ambalo tafsiri yake kwa lugha ya Kiingereza ni "my life". Lakini kwa mujibu wa dictionary ya Kiingereza neno "hayati" linatumika...
Buriani Barubaru.
1. Anayeifanya njia, usipate angamizi.
Anayekupa bamia, njaa inapokujia,
Ndio wa kumwaminia, kwa asilimia mia,
Buriani barubaru, Kwa herini JF.
2 Hewa bila kubabia,Wavuta na...
Nin maana ya haya maneno/methali/misemo hii:
1}"Usipomstahi Mke, Hutozaa na nduguyo,maana yake nin?
2} "Ndwele" maanayake nini,kama kwenye methali, yaliyopita si ndwele
Awali ya yote napenda kuwasalimuni ninyi nyote katika jukwaa hili.
Lugha ya kiingereza ni ngumu kwa wengi wetu lakini bado serikali inasisitiza kwamba iendelee kutumika mashuleni na vyuoni kama...
Hivi wataalam wa kiswahili wapo wapi?ama vyombo husika vina lipi la kusema katika hili?maana toka kiswahili kimesanifishwa kwa mara ya kwanza na waingereza mwaka 1930 tumeona kuna ukosefu kwa...
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu wanatakiwa kuwa makini na taarifa zao kwa umma.
1.Kuepuka makosa ya kisarufu na uandishi katika Kiswahili
rejea aya ya tatu sentensi ya pili wameanza na...
Kwa mie ninavyo fahamu neno la kiswahili lazima lihishiwe na irabu mwishoni kama jami-i,lugh-a,jukwa-a,n.k. Lakini neno RAIS halina irabu. Je ni neno la kiswahili
Nimeona nije niilete hapa...
zamani niliwahi kuambiwa Condoms kwa kiswahili zinaitwa KIFUDUSI au VIFUDUSI..Kwa wingi...
lakini sijasikia saana haya maneno yakivuma....
sasa naona ni wakati...
Nimekuwa nikisoma biblia na kukutana na neno Mungu likiandikwa ama kwa kuanza na herufi kubwa au herufi ndogo. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini neno hili huandikwa hivyo. Yaani unaweza kukuta...
Huwa napata shida kulitumia neno KUMBE katika lugha ya kiingereza
Mfano sentensi;
Kumbe Tanzania ni nchi tajiri.
sentensi hiyo itakaaje vizuri kwa kiingereza
Baadhi ya wataalamu wa Lugha ya kiswahili wamejadili kuwa maneno mengi ya kiarabu kwenye kiswahili kama SHUKRUNI,AHSANTE,SHIKAMOO,NK nimaneno ya Kiarabu.Naomba kujua kama kiswahili ni Kiarabu au...
Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga)
kwa hiyo...
Wadau huwa najiuliza kila siku bila kupata jawabu!Hv ilikuwaje Portugal ikaitwa Ureno kwa kiswahili jina ambalo haliendani hata kidogo na jinsi wao wenyewe wanavyoiita nchi yao? Nimekuwa...
wengi tunajua kuwa manaeno mengi ya kiswahili yametokana na lugha ya kiarabu kwa mfano neno BINADAMU limetokana na neno BIN-ADAM. ikiwa na maana ya mtoto wa adam wa kiume... sasa swali langu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.