Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
''pole na safari'' tunasemaje hapo kwa ki-english?
0 Reactions
38 Replies
17K Views
naomba kujua maneno haya kwa kiengereza yanaitwaje: 1: Mvi za kwenye nywele 2: Kitambi 3: Kinyesi 4: Ugali 5: Sambusa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakitumia neno dhumuni badala ya neno madhumuni. Je, ni sahihi?
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Wakuu heshima mbele. Naomba kutofautishiwa/namna ya matumizi ya haya maneno mawili. 1. I would LOVE........ 2. I would LIKE......... Natanguliza Shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika njanja za planning wengi tunakutana na kifupisho hiki maarufu cha SWOT ikiwa na maana ya Strength, Weakness, Opportunity na Threat. Sasa kwa lugha yetu kipenzi tunasemaje? Wengi wamejaribu...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakati neno uboho likiwa bado linatusumbua kulitamka mbele ya hadhara wataalamu wetu wametudadavulia neno Laptop kwa kiswahili ni Dadavuzi mpakato.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naombeni mnisaidie. Kuna baadhi ya m,aneno katika lgha ya yanapotamkwa mzungumzaji hutakiwa kuanza na ashakum, hasa kwa maneno ambayo yanaweza kudhaniwa kuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wakuu mimi ni mhitimu wa chuo kikuu. Naweza kuandika vizuri hii lugha, ila shida inakuja kwenye kuongea...ni aibu kwangu na nimekosa kazi kama mbili kwa kushndwa kujieleza ipasavyo. Je inawezekana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakazi wa Zanzibar,Mombasa Tanga wanasema mvua inakunya. Bara wanasema inanyesha. Yupi sahihi?
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nataka kujua neno "KIPUSA" lina maana gani kwa wale wa2 wa kukaa maskani linawahusu 100%
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kwanini zinaitwa pembe za ndovu na sio za tembo? Ndovu ni nini? Kama ndovu ndo pembe, kwanini hawasemagi amekamatwa na ndovu tu bila kusema "pembe" za ndovu? What if yale ni meno?
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Marehemu Issa Matona katika wimbo wake mmoja alinena kama hivi: "Sighilibiwi na rangi, tamu ya chai sukari." Je, alikuwa na maana gani?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naona haya maneno yanatumika ndivyo sivyo, wataalamu tujuzeni kinagaubaga........
0 Reactions
30 Replies
21K Views
Embu tujaribu kuzi'mordenize' kidogo ziendane na maisha ya kileo. . . . Lisemwalo lipo kama halipo . . . HALIPO. . . . Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, lakini hakosi KUJINASUA. . . . Pole...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Wanabodi, Leo nimeshuhudia jambo kubwa la kuitukuza lugha yetu adhimu ya Kiswahili, pale Balozi wa Korea hapa nchini, H.E Young Ho Kim, alipopanda jukwaani na kuhutubia kwa lugha ya Kiswahili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hlw guyz i gat a statement whch sayz,"HOPING FOR THE BEST BUT EXPECTING THE WORST" Need a slight difference if possible
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Napata tabu sana ktk maana ya neno barubaru, naomba msaada.
1 Reactions
5 Replies
27K Views
wadau hebu nijuzeni kwa maana nipo gizani
1 Reactions
5 Replies
20K Views
Jee ni maneno tofauti yenye maana 1 au kila moja lina maana yake? Km kuna tofauti ktk maana naomba kujua tafadhali
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Nilimsikiliza Nape jana wakati akipokea maandamano ya wanafunzai wapenzi wa Gamba kwamba Rais ndiye mfanyaji, sikujua anamaanisha nini au huenda alijifanyisha kusema vile?
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Back
Top Bottom