when low skies weightier than a coffin-lid
cast on the moaning soul their weary blight,
and from the whole horizon's murky grid
its grey light drips more dismal than the night;
when earth's a...
Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa mti unaozaa machungwa unaitwa mchungwa na mti unaozaa maembe unaitwa mwembe(muembe) lakini mti unaozaa ndizi unaitwa mgomba kwa sababu ukipanda ndizi hautaota...
Utasikia oh, nataka nimwoe 'demu' wangu, mara oh naenda kulala kwa 'demu' wangu, mara 'demu' wangu anazingua, mara 'demu' wangu anataka pesa, hivi huyu 'demu' ni nani? Nini maana yake? Nini asili...
WanaJF,
Jana kuna MwanaJF alianzisha thread akilalamika kuwa Mbunge wake wa Arumeru Mashariki ni mgonjwa sana na hivyo hawana mwakilishi jimboni kwao. Alitaka kujua serikali inaonaje kama...
Habarini zenu!
Msaada wa kuwatofautisha wanyama hawa na majina yao kwa kiswahili
Cheetah
Tiger
Leopard
Kwa anayejua tabia zao na ni yupi ambaye ni hatari zaidi kwa binadamu na nchi gani...
Nimesikiliza redioni na kusoma katika magazeti utambulisho wa magari (identification ante) ya viongozi wetu ambazo zinatumia
herufi, waandishi wakiandika kwamba kuwa hiyo ni namba ambapo hakuna...
TUNDA Sheria na mila zetu, utokapo utotoni watambulika na watu, waingizwa ukubwani, waitwa mzima mtu, kisa ndevu kidevuni, kila nikitupa jiwe tunda hili nalikosa. Kundi kubwa kijijini...
Naandika kutoa shukrani zangu kwa uongozi wa Jamii Forum kwa kulikubali ombi langu la kuwa mwanacham. Nitatumia fursa hii kutoa maoni, kujadili na hata kushiriki katika kutoa mafunzo bora ya lugha...
Ndugu mwana Jamii Forum,
Nakuomba uweze kushiriki katika tafiti hizi mbili kwa kujaza dodoso zinazopatikana katika links zifuatazo:
DODOSO NAMBA 1: ATHARI ZISIZO ZA MOJA KWA MOJA ZA KIINGEREZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.