Inakera na kuudhi na kusumbua sana unapokutana na lugha ya kwenye kuchat katika forums,
Mifano ni kama hii ifuatayo:
ebwanae siyo kifupi hivo bucha, enh! 2pe format mzuri je m2 anaanza na...
The BBC is carrying a story of a 21 year old lad who fluently can speak 11 languages. It's amazing, but yet possible.
BBC News - How do you become fluent in 11 languages?
Wana mahaba wa JF nifumbulieni hilo fumbo. Nilikuwa nasikiliza mziki sasa hivi kuna nyimbo ina mahadhi ya pwani pwani, halafu kuna kipande hiki "barabara hii jamani, mbele maji nyuma maji". Ana...
Nianze kwenda kwa nani?
Leo nimepata simu, Huko kwangu ofisini, Zote tena taslimu, Zimefika mikononi,
Na zote hizo muhimu, Nimezisoma yakini,
Nianze kwenda kwa nani, washairi nambieni.
2. Simu...
Nawaamkua mabingwa.
Natafiti tafsiri ya vifupisho (abbreviations) kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Naomba mchango wa kuendeleza orodha hii.
Mr. - Bw.
P.O.B. - S.L.P.
AIDS...
Jaman watumiaji wa kiswahili mmeliona hili?Ngoja niwaoneshe "kuna maneno kede wa kede ya kiswahili yamepoteza hadhi yake ya kawaida na kuvikwa hadhi ya matusi,mfano maneno...
Wamama wafanya biashara sokoni ni kundi moja maalumu lenye tabia za kipekee sana. Wanapenda kutembea pamoja kwenye kundi moja; hasa wakienda na kutoka makazini kwao. Kama itawalazimu kupanda...
Nimekuwa nikiwasikia baadhi ya watu wakiwatambulisha shemeji zao kwamba " huyu ni kaka yake na mke wangu" Kimsingi Kiswahili hicho siyo Sanifu kabisa na wanaokitumia ni bora wakaachana nacho maana...
Ebu vijana wa zamani na wa sasa tujikumbushe kuhusu UJANA. Soma shairi la Shaaban Robert alilotunga miaka ya 50 lakini hekima zake zadumu mpaka ukamilifu wa dahari.
UJANA
1. Ujana...
Ngugu,
Nikawa nchini Uganda kuhudhuria mafunzo ya muda mfupi (short course) Kuhusiana na Community Care in HIV/AIDS. Asubuhi moja nikagundua sijachana nywele kwa sababu sina kichano (comb), ngoma...
tafadhali naomba mnisaidie kutafsiri sentensi hizi kwa kiswahili,
1.Though it should rain tomorrow, Ill not go to see a doctor.
2.Well consider the question over and over...
Habari wana JF?,jamani mi leo nilikuwa nasikiliza redio fulani wanaelezea kuhusu mauaji ya kimbali...kiukweli maelezo yake yalikuwa tofauti na ninavyoelewa mimi,.mfano alisema-namnukuu: mauaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.