Ninasema kwa yakini,Ya kweli ya mitaani
Mejitokeza machoni,Sononeko li moyoni
Hawa walio shakani,Lini tatoka tabuni
Mjizigo tumboni,Mateso yao moyoni
Starehe watupatia,Na wana watuzalia
Na ngumi...
sehemu mbali mbali hapa Tanzania nimekuta tangazo ''TUNAUZA MAFUTA YA TAA''.
Unapoandika unauza mafuta ya Taa inamaana Taa ndio imetoa ama kuzalisha mafuta yale.
Ni kama vile unapokuta mahali...
hivi,upi ni usemi sahihi,kwa mfano ukikaribishwa kwenye nafasi fulani uongee,Kutumia maneno"Napenda kuchukua nafasi hii" au "Napenda kutumia nafasi hii"?
The Passionate Shepherd to His Love
by Christopher Marlowe
Come live with me and be my love,
And we will all the pleasures prove,
That valleys, groves, hills and fields,
Woods or steepy...
Habari za saa hz wakubwa..
Imekuwa ni kawaida sasa kwa haya matangazo ya burudan kwenye redio au televisheni huwa wanataja mambo yao..ikifika sehemu ya gharama(kwa matangazo kadhaa siyo yote)...
kwa muda mrefu sana nimekuwa ninaamini kuwa bingwa ni yule anayeshinda wote katika vigezo vinavyotambulika, na ni lazima ubingwa wake uambatane na vigezo hivyo. Kwa mfano "Bingwa wa ndondi za...
This is one of the poems that made me love and understand poetry... I hope you like it...
The Lake
By Alphonse de Lamartine
Translated by A.Z. Foreman
In 1816, at Aix-les Bains near Lake...
English is very funny language, unless you grew up with its eccentricities, can be a rather difficult and confusing language to learn. The rule is that... the rule doesn't always rule.
We'll...
ni nani kwa kiswahili?lol
hii kazi inalipa hapo bongo?
nataka kusomea degree in offender management,nirudi bongo nimechoka kukaa uk,niambieni inalipa?? kama hailipi nichukue degree gani inalipa...
Maana ya lughaLugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye kubeba maana, zilizokubaliwa na jamii ya watu fulani ili zitumike katika mawasiliano.
ni sauti za nasibu kwa sababu:-
Zilizuka tu bila...
Salamu za rambirambi kutoka kwa Mama Olive Kabila kuhusiana na "msiba wa gari la ndege ya shirika la kampani Ewabora". Ni salamu za rambirambi na masikitiko ya ajali lakini Kiswahili anachoongea...
Nimekutana nayo kwenye kamusi ya BAVIZA nikaona si vibaya tuambizane:
1. Chegari: Sehemu inayotumika kunyoa nywele wanaume (barber shop)
2.Tabaharia:Kubobea katika uelewa au utaalam wa jambo...