Wakuu wana JF natatizwa sana na maneno mawili; 'BARABARA' na 'NJIA'.
Naomba wataalam wa lugha ya Kiswahili wanifahamishe kama maneno hayo mawili yana maana sawa ama yanamaanisha vitu viwili tofauti.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba kufahamu, hivi ile inayotoka kwenye chungwa au kitunguu na kusababisha mtu kupalia na kupika chafya inaitwaje, wengine wanasema eti ni moshi wa chungwa...
Habari wana JF, npo kwenye gari kuna ubishan mkali. Kuna tofauti gan kati ya maneno haya.
1. Umeolewa 2.Umeowa 3.Tumeowana
No 3 ndio linaleta mkanganyiko sana. Ungewasaidiaje hawa watu?
Ndugu wanajamvi nimesikia kwa muda mrefu kuwa lugha ya taifa hili la Tanzania ni kiswahili, cha kushangaza ni kwamba kwenye shughuli nying za kitaifa tunatumia kiingereza kama lugha kuu...
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali
Inasemekana sisi Tanzania ndio waongeaji wakubwa wa lugha ya kiswahili duniani, hivyo ni kama hii lugha adhimu sisi ndio wamilki
Je, kuna hatimiliki katika...
Habari za jioni Wana JF
Kwa wale ambao hamfahamu mwanakijiji zaidi ya kuandika mambo mengi ya kisiasa na kiuchumu ni mtunzi mzuri wa hadithi,mashairi..yanayo wenza kuwekwa kwenye Jukwaa la...
In the darkness of the night
I feel something is not right.
There's a silence I apprehend,
Something I can't touch with Hand .
there is a part of me feeling cold,
And my heart is all...
Hatueleweki ni lugha ipi tunayoongea. Kwenye sentensi moja kuna lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Tuamue moja, ukichangia changia kwa lugha moja eidha Kiingereza ama Kiswahili.
Wanafunzi wa kitanzania wanakabiliana na kikwazo kikubwa cha lugha katika mafunzo yao.
Chukulia kwenye mtihani,mwanafunzi kaulizwa swali kwa english itambidi alitafsiri kwa kiswahili halafu kwa...
Inabidi tusaidiane wana JF kuhusu hili tatizo la matamshi na uandishi wa baadhi ya maneno ya kiswahili ili tuepuke kuharibu lugha hii,kwa mfano;
...kura chakula,badala ya kula chakula.
...abari...
Hamjambo wakuu? sentensi hizi zinasomeka ukianzia kusoma kushoto kwenda kulia, au ukianzia kulia kwenda kushoto. Je unaweza kutunga sentensi kama hizi kwa kiswahili?
Don't nod
Dogma: I am God...
"Minajili". wengi usema kwa minajili (MAKOSA)X "Min" KWa kiarabu ni "Kwa" hivo basi unavosema 'kwa minajili' ni kama unasema 'kwa kwajili".
Sema mfano: Nitakuja minajili hiyo. Nasio kama msemavo...
Ninatafuta wadau wa lugha hizo hapo juu ili kufanya mazoezi ya lugha hizi maana hapa bongo ni nadra sana kukutana na waongeaji wa lugha hizi ingawa wapo.
Tafadhali kupitia jamii forum tuungane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.