Habari zenu?
Nmekutana na baadhi ya watu wakitamka haya maneno...
1-Msa=Musa.
2- Mk*ndu=Mwekundu.
3- Mwananke= Mwanamke.
4- Leli=Reli.
5- Reri= Reli.
6-...
Nimekuwa nikifuatilia matangazo ya TBC1 wamekuwa wapenzi sana wa wa kutumia neno habari mpasuko. Sijui wamepata wapi kiswahili hiki? Nionavyo kuna makosa. Ilipaswa watumie 'Habari motomoto'...
Habari zenu members, Jamani naomba mtu anisaidie tafsiri ya hili neno MASABULI, linaonekana ni neno maarufu sana kwenye uwanja huu. huwa ninaposoma comments za watu hasa kama mtu hajaridhika au...
hili neo huwa lina sehemu mbili ambazo huwa linatumika..lakini..likiwa na maana mbili tofauti....nzuri au mbaya ni kwamba tumefundishwa mashuleni...utata naupata kwenye hizi sentensi ...neno...
Ukiangalia Filamu nyingi za Bongo matumizi sahihi na anuai ya Lugha ya Kiswahili hayapo. Tatizo hili linaweza kutokana na Filamu hizi kutokutumia andiko la Filamu "Script" na badala yake wanatumia...
kuna msemo usemao
"Mchamaago hanyele huenda akwiya tena"
Msemo huu wa kiswahili unatumika tokaenzi ya mababu namababu lakini wengi wetu hatujui maana ya maneno yaliyotumika. Nawaombeni wakuu...
Kuna matumizi yasiyo halali ya neno bore ktk lugha kiswahili.Ikumbukwe kwamba neno hilo ni la kiingereza likimaanisha a-kuchosha.cha ajabu ni kuwa neno hilo linaambishwa kwa kuongezewa kiambishi...
Kuna gogo la muanga, njiani limeanguka
Waja mafundi kuchonga, kibanzi kutobanjika
Watu wavunjika nyonga, kwa kupanda na kushuka
Kila ajaye na shoka, katu hawi seremala
Waja wenye mbinu zao...
by
Mwenda Mukuthuria, Ph.D.
mukuthuriaig@yahoo.com
Egerton University, Njoro, Kenya.
The Islamic Religion
Before exploring the role played by Islam in the development of Kiswahili, it...
Nisaidieni wataalam wa lugha yetu kutamka herufi hizo kwa kiswahili...nakumbuka shuleni tulifundishwa ila sasa nimeshasahau kwasababu sijasikia wengine wakitumia. Ninazozikumbuka tulizofundishwa...
Jamani watangazaji wetu kuna tofauti ya kimatamshi kati ya vifupi vya maneno vilivyoandikwa kwa kutenganishwa na nukta na vile visivyotenganishwa na nukta. Mbona mnasoma bila kujali kama kuna...
jamani wana lugha ya kiingereza msaada
je ukitaka kumwambia mtu ngozi inawasha unasemaje kwa kiingreza
neno ninalohitaji sana ni hili "washa" or kuwasha kwa ngozi au mwili
hope to receive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.