Nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu wasemavyo, muda huu ni wa kuuaga mwili wa marehemu.
Hebu tuwekane sawa! Je, inawapasa wasemeje ili kuuondoa utata wa lugha! Tafadhali dadafueni kauli hiyo.
Kwa matumizi ya kawaida na ya kila siku ya maneno haya, inawezekana kuna watu huitwa kwa majina haya isivyostahiri. Maneno yenyewe ni kama;
Tahila
zezeta
punguani
hayawani
chizi
kichaa...
Katika kizazi kijacho kitakuwa hakijui kiswahili fasaha kwa kiasi kikubwa sana, kwani baadhi ya radio zetu zimekuwa mstari wa mbele kuua lugha yetu na kuingiza maneno ya kihuni tuu, sipati picha...
Bahari za mihangaiko wanandugu....leo katika maongezi na baadhi ya wadau hapa mtandaoni..jamaa yangu akasema..."Tatizo la sisi waswahini ni kwamba hatunaga future katika mipango yetu...tuna zamani...
Kwa wasiofahamu elimu ya mwandishi wa vitabu vya riwaya na mashairi hayati shaaban Robert ana elimu ya darasa la nne.Unazikumbuka
kazi zake hizi?Kusadikika,kufikirika,Adili na Nduguze n.k.Je hao...
Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati...
Wakuu
Nisaidie hiki kiswahili cha BBC
Umoja wa Mataifa umeziomba pande zote katika vita vya Libya, kuzuwia vitendo vya kulipiza kisasi.
Taarifa hiyo imetolewa baada ya kuarifiwa kuwa wanajeshi...
Asalaam alekum wanajamvi?naomba msaada wenu katika maneno haya UPEMBUZI YAKINIFU na SUALA MTAMBUKA.nimekuwa nikiyasiki yakitumiwa sana na wanasiasa hasa mjengo lakini sijajua ni muktadha wa...
Habari ya wakati huu waungwana!
Ninaweza saidiwa hili neno kwa kiswahili linaitwaje?
'BUSY'
'in swahili vocabullary'
Kwasababu watu wengi utawasikia wakisema, 'nipo busy bwana, au hata kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.