Napenda kuuliza kuhusu jambo hili (Labda linaweza kuwachekesha wengine lakini mimi limenishangaza), katika siku moja kuna mjusi watatu walibanwa na milango 3 tofauti za nyumbani, wote walibanwa...
Kunasehemu nilisoma ila sikuenda kiundani sana watu wanashauri mtandao wa TIGO wabadilishe jina maana Tigo limekuwa tusi, naomba kuuliza kama **** mwenye tafsri ya tusi hilo tusije tukafulia...
Why are you puzzled?
Did I startle you? Oh well!
You didnt see that coming?
Of course you didnt!
It was just a kiss, right there!
A quick, soft and tender
You still wonder
What was...
Msomaji mwenzangu: Naomba unitegee sikio. Hapa Ulaya kamusi za matusi na maneno yenye sifa mbaya ziko madukani. Niwie radhi kama maoni yangu hapa yanazua karaha hata iwe kidogo miongoni mwenu...
Kwa wapenzi wa literature je mnafahamu kuwa vitabu vitatu vya Chinua Achebe Things fall apart,an arrow of God na no longer at easy ilikuwa ni sentensi moja ambayo aliitoa vitabu vitatu?ni kama...
Naomba kujuzwa maneno haya kwa kiswahili maana lugha yetu hii ni changa lakini tata baada ya kuathirika kwa nchi yetu kutufundisha kwa kutumia mitaala na lugha za nje;
1. Neno diploma
2. Advanced...
Judi nijibu swali, kwa nini unaitwa 'Misi'?
Ni mwembamba yako hali, au mrembo tausi?
Ulimi wako asali, wa tamaa kama fisi?
Ni kweli wewe ni 'Misi', nijuze mie rijali.
Pichani sio kigoli, iweje...
Nilipata wakati mgumu nilipokuwa Mtwara mwaka jana hasa katika matumizi, matamshi na maana ya baadhi ya maneno ya kiswahili. Ila maana ya neno "kugoma" ilinitatiza sana na ilinichukua muda...
Misemo yenyewe ni hii niliyobold red
Person1:Thank you for your help.
A) Person2: You are welcome.
Person1: I got A in Maths
B) Person2: Good for you.
Msemo A, nafikiri kumjibu hivyo person1...
Naomba mashiko ju ya udhaifu wa nadharia ya vikundi virai kwamba ilikua ya kinadharia zaidi kuliko ilivyotakiwa kua.
1. Kwa nini ilikua ya kinadharia?
2. Ilitakiwa iweje?
Ndungu wanajamii.
mie bado sijaelewa sera yetu ya elimu kuhusu utumiaji wa lugha mbili za kiswahili na kiingereza hivi kwa changamoto za dunia ya leo,za utandawazi na soko huria ni lugha gani...
Ndugu waswahili wenzangu maneno haya yanayohusu wakati nashindwa kuyatumia ipasavyo na mwenye uelewa wa kutosha naomba anielimishe;
alfajiri,asubuhi,mchana,adhuhuri,jioni,alasiri na usiku.kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.