Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Rabbi uloumba mbingu, Ukaumba na dunia Nasi kwetu walimwengu, Dini ukatushushia Nini letu fungu, Sisi ulotuwekea Kutwa kucha twakuasi, Maovi kuyavamia Tena bila ya kuasi, Mengi tunakusudia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
How Should You Spell Gaddafi’s Name? There are almost as many ways to spell Colonel Gaddafi’s name as there are theories of the former dictator’s whereabouts. There is no single “correct” way to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ili uwe mmbeya inatakiwa uwe umefanya au umeongea nini, watu wammbeya wana sifa gani?
0 Reactions
5 Replies
15K Views
Difference between COMPLETE & FINISHED People say there is no difference between COMPLETE & FINISHED. But there is. When you marry the right one, you are COMPLETE. And when you marry the wrong...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kiukweli haya maneno yana nichanganya tuna ambiwa kuwa kwa mjina ya kiafrica **** AU MBOO ndio neno sahihi lakini ukitamka mbele za watu unaambia umetukana.Pia kuna neno kama KUTOMBA ni lafudhi za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kanumba Steve THEY ARE VERRY STRONG AND POWERFULL,THEY CONTROL D WORLD THE WAY THEY WANT,THEY R THE PRINCE OF THE WORLD...DO U KNW WHO R THEY?DNT MISS MY NEW MOVIE...''DEVIL KINGDOM'' Ivi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wataalamu wa Kiswahili funga ya Ramadhani ni Swaum, Saum, Swaumu au saumu? ipi ni sahihi?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani enendeni mahakani, mjichekeshe kwa vituko vya huko. Unakuta Hakimu anafurukuta kuandika kwa kutafsiri kwa haraka maneno anayoyatoa shuhuda au hivo kizimbani, haraka haraka kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Binafsi huwa naumia sana na kujiuliza maswali mengi, ukichunguza karibu maeneo yaliyomengi hasa ya kibiashara utakuta huduma husika imetambulishwa kwa kiingereza mbaya zaidi kiingereza chenyewe...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Islamophobia ni ugonjwa hatari sana. Ugonjwa huko siku nyingi sana ila kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa ukikua kwa kasi ya ajabu sana. Aliyeathiriwa na ugonjwa huu huwa anaogopa UISLAM na vitu...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Neno hilo hapo lina maana gani ktk kiswahili
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naamini tumekuwa weledi katika historia ya lugha ya kiswahili, Je, nini mchango wa lugha hiyo katika suala la umoja wa kitaifa ? Hususan katika muda wa miaka hamsini ya uhuru wa Watanganyika na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada wana JF nini kiswahili cha neno hili...VAMPIRE
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini hotuba mbalimbali na watu mbalimbali wakiongea, Mfano ni leo bungeni kuna kamjamaa kalikuwa naona kanawasilisha mambo ya utumishi. Sasa hicho kiswahili...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
AKIDI: idadi ya watu inayoridhisha kuchukua maamuzi fulani juu ya jambo fulani. MANIFESTO: Azimio la chama kuelezea msimamo wa chama kuhusu tukio au wazo fulani kulingana na sera au mpango wa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kwa mnaofuga mbwa kuna usemi unasema; MBWA UKIMJUA JINA HAKUSUMBUI wengine HAKUPI SHIDA - Ni zipi hasa tabia za mbwa kama unamjua jina? Ina maana ukimuita kwa jina lake hupunguza ukali?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wayebusi hodi naja, Waperizi sichukie, Mkaananii kwako naja, Nawe Kushi unisikie, Mwamori andaa hoja, Nzuri na nizisikie, Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula. Nauliza tangu zama, majibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Methali za kiswahili 1. Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse 2. Akiba haiozi, A reserve will not decay 3. Asifuye mvuwa imemnyea...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu, kuna kitu kinanitatiza kwenye tangazo la bia moja wanaslogan inayosema "HAINA MAJOTRO" mimi mpaka leo sijajua maana ya hilo neno,na hata nikiwaeleza watu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Nyoka mzee anayejivua gamba ,kichwa chake kiko nje mara nyingi chenye kuchanganya akili za mbayuwayu na zake ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom