1. Samaki mmoja akioza wote wameoza
2. Usipoziba ufa utajenga ukuta
3. Siku za mwizi ni arobaini
4. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho
5. Kikulacho ki nguoni mwako
6. Kipya kinyemi ingawa...
Wana JF, kuna kiswahili kimeingia kipya sifahamu maana yake kwa hakika. Kwenye majarida mbalimbali kila mwandishi analitumia kivyake nimeshindwa kupata maana halisi ya neno: Sharobaro!
Mes amis que nous sommes tous les enfants de Dieu, je tiens seulement à souhaiter à tous les Ramadan kareem même si l'im chrétiens, mais je vous souhaite à tous. Que Dieu vous bénisse tous.
SHATI LA RANGI
Mgonjwa mwenzi kitanda,nafsi yanikumbukiza
Wa miongo na si kinda,maovu yanichukiza
Ukweli nitautenda,sitoita muujiza
Navua shati la rangi, silitaki lina damu
Weledi...
Few men have the story like mine,
But there are others that when they speak I dont tell mine,
Like the menial men in the mine,
Most people dont mind to...
Jamani mnaisoma Njozi ya Mwanakijij kwenye Tanzania Dima Jumatano !? Jmaa anatisha namshauri aifanya kuwa Riwaya
Itakuwa ni mojawapo ya RIWAYA BOMBA,BRAVO MWANAKIJIJI INGAWAJE SIKUJUI !NINGEKUJUA...
Nimekuwa nikichekeshwa sana na stand up comedies za kiingereza na nadhani za kiswahili hazibambi,hata movies pia ni hivyohivyo,mnaonaje wadau?Lugha yetu si tamu kama ya wazungu ama tunakosa...
Polisi ni kazi, ni mtu au vyote.......?
Mfano Zima-moto/mzima moto
Ualimu/mwalimu
Ulinzi/mlinzi
Ujenzi/mjenzi
Jee Polisi ? kwa kiingereza Police ni kazi, mfanyakazi atakua policeman.
UKITAKA KUNYWA SUPU YA MBWA, SHARTI IWE YA MOTO!!! Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu msemo huu. Maana ya msemo huu hainitatizi sana, kinachonitatiza ni kuwa kwa nini wahenga waliamua kutumia neno...
The news is an investigative one.....i think for you who have come all da way from they you had a realy experience.....After i have read the issue i found that there are events happening in this...
Located in south-east Tanzania in a remote and little-visited part of the country, the Selous Game Reserve is Africa's largest protected wildlife reserve and covers more than 5% of Tanzania's...
Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.
Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe...
maneno yenyewe ni pamoja na
1 circular motion
2 acceleration
3 x-rays
4 molar mass
5 proton
6 chlorophyll
7 oxygen
8 carbon dioxide
msaada pia kwa maneno mengine meeeeengi...
Wapendwa,
mimi ni Mjerumani. Najitahidi kujifunza Kiswahili.
Swali langu: Je, kuna neno katika lugha ya Kiswahili linalotumiwa kuonyesha kwamba wanaarusi wawili walifunga ndoa yao, kama neno la...
Watanzania tubadilike,tuipende na kuilinda Lugha yetu! Utakuta mtu anaandika "ivi" badala ya hivi,"una ela" badala ya huna hela, "ujui" badala ya hujuwi, nk uharibifu huu (mwingine angeandika...