Jamani leo naomba tushirikane katika hili, kwenye lugha ya kiingereza kuna sentensi 'at the end of the day' na pia kwenye kiswahili kuna sentensi 'mwisho wa siku'. Naomba kujua hii sentensi ni...
1. Kauli zao asali, bado kushika utamu,
Kama kifaru wakali, wakishashika hatamu
Taanguka chini chali, wakati wao karamu,
Nimechoka na vya ofisini na ruzuku, nasubiri vya porini
2.Tamaa...
Hivi kuna tofauti gani kati ya Majini, Mashetani, Mapepo na Mahayawani?
Naomba msaada wenu ndugu wataalam.
Maana kanisani utasikia wakikemea pepo toka, Masheikh utawasikia wanafukuza majini.
Yaani...
Habari zenu tha great thinkers!
Jaman nimesoma mpaka six na sasa nipo chuoni lakini sijajua kutafsiri usemi huu kwa kiingereza "baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?" naombeni nisaidiwe...
Wakuu, naomba kuuliza maana halisi ya neno 'pole'
Unamkuta mgonjwa, unamuambia pole
Mu katoka kazini unamwambia pole
Katoka safarini unamwambia pole na safari
Ukitaka kumuelezea mtu maana ya...
Too Late
You're dying,
And you don't even know it, never saw it coming
But you were so young, so much life, so much loving
So much hope, so much sorrow, I guess so much for tomorrow,
Your...
Wana JF nawasalimu sana katika Jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya salamu hizo leo nimekuja na kamada kadogo kabisa katika hili jukwaa la lugha.
Watu wengi wamekuwa na...
Naomba nieleweshwe kama KUNOMINISHA na KUUNDA KITENZI JINA ni kitu kimoja au kuna tofauti na kama kuna tofauti ni ipi?
Mfano: neno "CHEZA" kati ya "KUCHEZA" na "MCHEZO" ipi ni sahihi katika...
shangingi nnavyojua ni mwanamke-flamboyant, mmbeya na msengenyaji!(sina uhakika kama ni kiswahili fasaha), ikaja kwamba aina fulani ya magari yakaitwa mashangingi, sasa imekuwa kama ni neno...
Picha hii na maelezo yake nimevitoa kwenye Blogu ya Michuzi
Jambo ninaloongelea hapo ni jinsi gani uandishi wetu katika kiingereza ulivyokwenda mrama kwa sababu ya kutaka kumjenga rais wetu.
Ni...