NYOKA
Nyoka hana gamba, ana ngozi,
Nyoka hujivua ngozi,
awe mpya, fisadi na mgomvi
Nyoka kujivua ngozi, hakuondoi hatari
Nyoka hana gamba, ana ngozi
siku akivua ngozi, sirini yuko gizani...
Je yawezekana kujifunza na kuweza kuongea Lugha ya kiingereza kwa muda wa wiki tatu hapa bongo na kama yawezekana tufahamishane ni mahali gani hapo waheshimiwa? na ni kiasi gani?hii ni kwa mtu...
Kiswahili kweli ni lugha masikini, maneno mengi yanatumika kwa maana tofauti na hivyo huweza kuwachanganya watumiaji:
Mfano:
1. Kufika= kuwasili sehemu fulani, kufikia hamu katika tendo la ndoa...
Tangu nilipokua mtoto nimekua nikisikia watu wanasem ati hizo ni ndoto za alinacha. sasa nashindwa kupata jibu, huyu alinacha ni nani? au tunamaanisha nini tunaposema ndoto za alinacha?
tafadhali...
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya neno LOVE na LIKE,Love is more serious than like,kwahiyo ni vigumu mtu ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza kumwambia I LOVE YOU,instead inapaswa kusema I LIKE...
Vuvi lambwa vuvi nyika, jivuvi la madimbwini,
likawaza kadhalika, lingevua baharini,
Na sasa lafadhaika, chambo hakina thamani,
Samaki amezichambo, au twambe hakioni?
Karibuni katika uchambuzi.
Naomba kujua kama kuna maneno halisia ya Kiswahili au la lugha yoyote hapa ya Kibantu kuwakilisha maneno yafuatayo:
-- nylon
-- plastic
-- rubber
Ahsanteni.
Steve Dii
Naomba msaada kutoka kwa wataalamu wa lugha ya kiingereza.Can you say...."at" new york? Or "In" New York?
Which one is correct? if you wanna describe your location.
Wapendwa, Topic hii si ya Kisiasa bali ni Lugha,
Hivyo naomba mawazo na michango yenu iishie hapo tu kama itawezekana.
Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikimsikia Rais akinukuliwa au nikimsikia...
mara nyingi utawasikia watu wakisema"nimezaliwa sehemu fulani"
Kwa nini wasiseme"nimezawa sehemu fulani?"
Kwa maana:
Zaa-mzizi
Zawa-tendwa
Zaliwa-tendewa
Hivyo kusema zaliwa,ina maana kuwa...
Nimekuwa nikisikia siku hizi, kutoka kwa vijana, hasa wakina dada, kuwa utamkaji (lafudhi), (intonation) ya Kiswahili wao ni tofauti na wakati uliopita. Nikisikiliza Kiswahili, hasa kutoka kwa...
Nataka kuanzisha thread came ile kuhusu maneno za kiswahili zinazohusu technolojia (=> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/128274-technolojia-na-kiswahili.html ) , lakini sasa unatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.