Juzi nilikuwa nasoma article moja nikakutana
na msemo wa kiarabu.......
Al funuuni majuununi.....
Maana yake kila mwendawazimu ana fani yake...
Imenifanya niwe nina kiu ya kujua zaidi...
Wasalaamu,
Naomba kujuzwa wanaJF, ni wapi wanafundisha kozi ya kuongea na kuandika lugha ya kichina??
1. Iwe Dodoma,
2. Iwe kozi ya jioni
3. Ada iwekwe wazi
Mtu binafsi wa kufundisha...
ukisoma kwenye magazeti au majarida utaona waandishi wanatofautina kuelezea hili sentensi,sentensi ipi ni sahihi hapa chini?
1. Shirika la benki la taifa.
2. Shirika la taifa la benki
salam salam wataalam wa lugha. Napenda kuuliza swali,je ni sahihi kusema kwa mfano nipo UCC nachukua diploma ya IT au nipo UCC nasomea diploma ya IT. kipi sahih kuchkua au kusomea? Asante wakuu
NAPENDA KUWASAHIHISHA WOTE WALE WAOPENDA KUSEMA 'KITUO CHA KATI CHA POLISI' KUWA SI SAHIHI, INATAKIWA KUSEMA 'KITUO KIKUU CHA POLISI'. WASIBABAIKE NA KUTOHOA NENO 'CENTRAL' KWA MAANA YA KATI...
mazoea yanaweza kufanya maneno fulani yaonekane kuwa yanatumika kwa usahihi, lakini ukweli ni kinyume chake. mfano haya yafuatayo"
1. siyo, sahihi ni sio
2. ndiyo, sahihi ni ndio
3. ndio yeye...
Allan Hope a.k.a Ras Mutabaruka(jam) Mrisho Mpoto a.k.a Mjomba. Kwa kifupi hawa jamaa ni waghani na watambaji wa mashairi ya kimafunzo. Japo sina hakika kama wote ni Rastafarians kiimani, nina...
Watu wengi hurejea mikoa mingine ya Tanzania kama "mikoani", mathalani, mabasi yaendayo mikoani. Nadhani hii siyo lugha sahihi kwa sababu ina maanisha Dar es salaam ni Taifani. Unaposema mikoani...
BARAZA la Kiswahili la Tanzania (BAKITA) limewakumbusha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia Kiswahili pekee badala ya kuchanganya na Kiingereza kwani linawafanya wananchi...
Hivi karibuni nimekuwa nikifuatilia tamthilia mwanana ya India a Love Story kikautana na neno "chai" likitumika sana nikagundua kumbe hata sie waswahili tumetohoa toka kwa wenzetu wa India... Soma...
Jana nimesikia mtu akisema maji ya kumwagilia yamepelea, kuingia kwenye daladala nako mtu anamsimulia mwenzie kuwa alishindwa kununua kitu hela ilipelea. Sasa hapa nawiwa na maneno ya kueleza ni...
Kwa mara nyingi sasa nimekuwa nikiona watu wanaandika neno hili 'kuonesha'. Wakati mimi nasoma, na nimekuwa nikiandika pia kwa muda mrefu kwa lugha ya Kiswahili, nimekuwa nikitumia ' kuonyesha'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.