wakuu naomba kuulza tofaut ya maneno hayo mawili maana yananichenginyi sana. Je,ni sahihi kusema "nimemtuma mtoto aniletee soda" au " nimemuagiza mtoto aniletee soda" ? Shukran za dhat wakuu...!!!
Nipo moshi na ninafanya kazi kwenye kampuni binafsi.Sasa natafuta watu watakaopenda kujifunza Kuzungumza,kuandika na kusoma lugha ya kiitaliano
au kihispania.
1. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 za Tanzania.
2. Dola moja ya Marekani inauzwa kwa thamani ya Shillingi 1500 ya Tanzania.
Naombeni msaada wanajamvi kipi ni kiswahili...
karibia redio zote zinazo tangaza kwa lugha ya kiswahili zipo kenya,hii inamaanisha nini juu ya hii lugha yetu ya kiswahili?
sasa hata wachina wanaredio yao ya kiswahili ipo kenya,je lugha hii ya...
MWISHONI mwa wiki Waziri wa Elimu wa Zanzibar Ramadhan Abdullah Shaaban alikuwa mgeni rasmi katika shughuli ambayo imepewa jina la Siku ya Kiswahili ambayo kwa hakika ilifana sana.
Hii...
Ninaisikia huu mkorogo mara nyingi sana (almost mara moja kila wiki) kupitia vyombo vote vya habari kasoro magazeti.
Mfano; Timu A imegawana pointi na timu B baada ya kutoka suruhu ya bao 2 kwa...
Wan JF naomba wataalam wa lugha wanisaidie kama ni kutoa tuzo au tunzo kwa mtu anapopongezwa kwa kufanya vizuri. Pia je daktari alinatibu au anatibia ugonjwa. Ninaogopa hata kuendelea na sentensi...
"Kimbakwiri" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mtu anayetumia nafasi,cheo au elimu yake kupata mali kwa njia isiyo halali.Mfano wewe ni mwanasheria wa serekali unasaini mkataba kwa niaba ya...
Malenga nawasalimu, Kwa jina lake Rabuka
Nimeona nijihimu, japokua kushakucha
Kwa hili jambo adimu,linalotusuka suka
Kikombe, kikombe gani, Malenga nielezeni
Kikombe, kikombe gani, atoacho...
Huwa najiuliza mara nyingi kuwa ki au vi hutumika kwa vitu kama sikosei maana mimi si mtaalamu wa lugha, lakini linakuja swali langu kwanini walemavu wanatumiwa na maneno kama wao ni vitu...
Baraza la kiswahili lilitumi vigezo vipi kuita majina yafuatayo kama ifuatavyo:
mnyama mbwa badala ya kuita m'mbwa.
Mbu badala ya kuita m'mbu.
Nge badala ya kuita n'nge. Vilevile hata neno nje...
mara nyingi kwenye vipindi vya redio au tv mwishoni mtangazaji anamaliza kwa kusema 'tukutane tena kwa kipindi kingine siku na muda kama huu''. je, hii ni sahihi kweli maana muda huo ndio kipindi...
mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog...
Nimekuwa napata shida sana kuzielewa taarifa au michango toka katika magazeti mbalimbali hapa Tanzania na hata pia humu ndani ya JF. Baadhi ya makala ili uzielewe inatakiwa ujitahidi mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.