And there was Kenyan Swahili, there are some words which will always confuse me and maybe funny while at it:-
 Nasikitika- Nasitikika
 Kukanganyana- Kukanyangana
 Mimba-...
Habari zenu wakuu? Leo nimekuja na hili ninashida ya kutofautisha maneno haya BAINISHA na AINISHA.
Mfano: Bainisha na ainisha maneno yafuatayo
1. Anakikimbia
2.Anakula
Naombeni msaada wenu jamani.
And Arabic is the language of Islamic doctrines.
And am not a muslim, neither i will be.
i will chose death between death, living and being islamised.
what do you think ma pipo?
Napendekeza masomo yote yanayofundishwa katika mashule na vyuo vyote Tanzania yafundishwe kwa lugha ya taifa ili kuongeza idadi ya wanaofaulu na uelewa juu ya wanachojifunza. Kusoma kwa kiswahili...
Kwa muda mrefu tangu nakua nimekuwa niksikia watu wengi wanapozungumza kiswahili hupenda kuweka neno "ga" mwisho wa neno..mfano Alikwenda wao husema "Alikwendaga" sasa hapo nimekuwa nikijiuliza...
Northern Highland High School : Mwombaji awe na Principle Moja na Subsajari Moja!
= =
Hilo ni tangazo la Shule kwa wahitimu wa kidato cha nne kujiunga na hiyo shule...
Mtangazaji anavyotamka...
Jamaa zangu watanga wakifika Dar wanasema kiswahili cha Dar kinatia aibu.
Uzuri wanasema uzuli
Msafiri wanasema msafili
Roho wanasema loho
Safari wanasema safali
Hivi skuli za Dar alphabet zao...
Lipia Umeme Kadri Unavyotumia kwa mantiki hapa kitendo cha kulipia kinafuata baada ya matumizi, yaani unaanza kutumia halafu unalipia kadri ulivyotumia(post paid) lakini hii si kweli kabisa kwani...
WanaJFnaomba mnitoe katika utata wa maneno haya mawili.kwenye tukio la mlipuko wa mabomu pale Gongo la mboto baadhi ya vyombo vya habari hutumia maneno haya:
A: WAHANGA wa mabomu
B: WAATHIRIKA...
Nimekuwa nikisia redioni hasa matangazo ya vifo yanayosomwa na redio One ambapo wanatumia neno "mama wake" wakiwa na maana "mama yake fulani".
Je hayo ni matumizi mazuri ya kiswahili? Zamani...
TRAINING PROPOSAL
Contents
Introductions
Courses offered
Durations
Budgeting &Pricing
1. INTRODUCTION
Home Radio Center is the professional developing...
nimeshasikia baadhi ya watangazaji wa redio wanapozungumzia tukio mfano ''pambano hilo litachukua nafasi kwenye uwanja mpya wa taifa'' hapo wakiwa na maana kuwa litafanyika.je huku ''kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.