WanaJF ninaomba mnisaidie mana 2libishana sana na pia huwa nimeshasikia weng wakisema au ku2mia maneno haya kat ya MTU na BINADAMU lakn wanavyoyatumia inakuwa kama kunautofaut ninaomben msaada...
kama hili hulioni, macho yako yana kutu
meliona mie jini, langamiza wetu watu
zaidi ya subiani, kiziwi kupewa tutu
jini hili jini gani, chano chake damu zetu?
Jambo kubwa lililojiri Tanzania katika siku za hivi karibuni, ukiachia mauaji ya kusikitisha yaliyotokea mjini Arusha, ni Uamuzi wa Waziri Ngeleja kutangaza kuwa 'serikali' imeamua kuilipa Dowans...
Nikikosea kuzungumza lugha ya Kiingereza sisikitiki wala kuona aibu. Lakini nikikosea kuzungumza kiswahili au lugha ya kabila langu kwa kuzaliwa natamani ardhi ipasuke na kunimeza kwa ajiri ya...
jamani sisi wengine tumezaliwa enzi za mkapa hatukuwahi kupata bahati ya kusikia hotuba za kiiingereza za mwinyi wala nyerere,ningependa kujua kati ya hao wanne nani ni mkali wa kucheza na lugha...
Naombeni tofauti kati ya maneno yafuatayo: UDINI na DINI, maana imezuka tabia humu katika jukwaa mtu akiwa anatetea dini yake anaitwa MDINI. Wataalamu tufafanulieni
Kuna watu ambao wamekuwa na udhaifu wa kuchanganya matamshi ya herufi kadhaa. Kwa Wamakonde M wao huitamka kama N (mathalan, mtu wao husema ntu) kuna wengine kwenye R wao huweka L na kinyume chake...
Hivi ni sawa kusema jua limezama? Kama linazama huwa linazama wapi, manaake ukweli ni kwamba dunia ndio inayozunguka. Jua liko pale pale. Mbaya zaidi wabongo tunatabia ya kuita Ulaya eti ni majuu...
Nimekutana na kipande cha utenzi kimenishinda kutafsiri kwa kiswahili rahisi, msaada please
Uwene wangapi watu wakwasi
walo wakiwaa kama shamasi
wamuluku dhana za adharusi
dhahabu na fedha...
Waswahili hebu nijuzeni kwenye hili; Mke/Mme wa Mjomba/Shangazi wangu/yangu ni mwite nani?. Je ni sahihi kumwita Shaangazi/Mjomba?.
Karibuni nguli wa kiswahili kwa mjadala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.