Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kwa wataalamu wa lugha nini maana ya "WIVU"??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kunatofauti gani kati ya SIFA na TABIA? Nisaidieni nashindwa kabisa kutofautisha!
0 Reactions
2 Replies
5K Views
I am working on localizing some open source software and I need some help with the following terms:- checkout - last step when purchasing staff online or at a supermarket order (verb) - giving...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Ninafanya utafiti kuhusu wafasiri na wakalimani Tanzania kwa lengo la kufahamu ukubwa wa soko la ajira au huduma hizi hapa nchini. Kusudio kuu la utafiti huu ni kuandaa mtaala wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Unajua tafsiri ya Maneno ya IT? Ibandike Hapa! Copy - Nakili Paste - Bandika? Cut - Kata Edit - Rekebisha File - Faili Yaani hata sijafika mbali weledi umeniisha...msaada jamani
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba tafsiri ya maneno haya kama yapo kwenye matumizi 1) Opinion polls 2) Preferencial polls 3) Nomination polls Nilishindwa kuelewa tofauti pale ambapo kura zile za kupendekeza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana lugha nahisi msamiati kuchakachua umekuwa ni msamiati uliokuwa na kutumiwa sana katika lugha yetu ya taifa na kuwa ni msamiati uliopata umaarufu kwa kipindi kifupi,na kukua kwa msamiati...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kampeni za manyanga, nesema zinanikera Wenyewe munazipanga, nasisi tunawachora! Mfano wenu wajinga, mwaonekana uchwara! Nasema munanikera, kwa vyenu vyote vimbwenga! Nasubiria novemba, ambapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi wanalugha kuna kitu kinanikanganya, ni neno gani la kiswahili linatumika badala ya neno la kiingereza 'respectively'?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii hadithi inatoka hapa: http://vijana.fm/tag/jicho-la-tatu/ "Mwendo ni Kula Raha" ni kisa kutoka kwa kijana anayeitwa Magirini; yaliyotokea tarehe 15 Novemba, 2002...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
========================================================== 0-9 10q — Thank you 10x — Thanks 1337 — From the word Leet, derived from the word elite 2 — Too, or to 2L8 — Too...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Hali yangu yategemea sana na hisia za kibinadamu kwani mimi husonga kwa shida na raha mimi ni nani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwanza kuna hili la 'mbele za mungu' kwani ni mbele za mungu au mbele ya mungu?????? ukisema mbele za mungu ni kama unasema mbele zake mungu(his private parts) halafu kuna hili la nabii na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hodi Hodi Jamvini, Malenga na wasomaji, Tafadhali tambueni, tumeupata mtaji, Tunakuja uwanjani, jengo tunalihitaji, Kura zenu ni muhimu, ili kuwa wapangaji. Timu imekamilika, kila idara yatosha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Abdalla, A., 1973. Ushairi wa Kiswahili na Uhuishwe Usiuliwe Zinduko. Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu. 2. Abdallah, A., 1977. Mashairi ya Miaka Kumi ya Azimio la Arusha UKUTA, Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
X-Paster hodi nakuja, Jinius sichukie, Tumaini kwako naja, Sadeeq unisikie, Hafif andaa hoja, MziziMkavu nisikie, Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula. Nauliza tangu zama, majibu sijayapata...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Hivi ni kweli hakuna maneno ya kiswahili au Kibantu ambayo yanaweza kutumika kulipunguzia mzigo neno "Mkuu"?, Hetu angalieni lilivyoelemewa: Prime Minister = Waziri Mkuu Permanent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau kati ya ''Academic Registration Information System''na ''Academic Information Registration System'' ipi ni sahihi zaidi kueleza mfumo wa kurekodi/ kuhifadhi taarifa/takwimu za kitaaluma za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiyaonja mapenzi utaujuwa utamu Ndipo utapoyaenzi ukayaona adhimu Nakupenda Mwenye enzi Ilahi Mola Karimu Nisikupende kwa nini Nawe Umenikirimu Nisikupende kwa nini Ya Ilahi ya Karimu Nawe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kidole na Mdudu Yarabi nipe hamasa, waja niwape pazia Napata shauku sasa, mjengoni kuzungumzia Kupata yanayopasa, hakika siyo kazia Mdudu aumaye, upuuzi kumpa kidole Hebu tizameni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom