Ya'rabi miye nalia
Haya n'nashuhudia
Ya shari twajitakia
Ya mambo ya kuchukia
Kubeba asobebeka, akibebwa habebeki!
Twaona yanatukia
Kama giza latujia
Wenyewe twashingilia
Totoro twaliingia...
Naasa nisikiani, ya lazima mabanati
Wamekuvisha vimini, hujuwi zao shuruti
Tayari umtihanini , epukeni ma afiriti
Mabanati yapimeni haya yangu mi matamko
Kukwita mi sitochoka , ile njia...
Tangu enzi za wagiriki uigizaji wa jukwaa procenium theatre umechukuliwa kuwa ndiyo theatre kamili. wanachuo wasomapo huwa wanasomea stage theatre.
Lakini je ni ipi iliyo bora baina ya ile ya...
unapojifunza lugha nyingi, msamiati wa kwanza huwa tarakimu moja hadi kumi. lakini wajua kuwa neno la herufi 3 ni karibu sawa katika asilimia 70 ya lugha za ki-bantu?
wajua kuwa lugha nyingi huwa...
Mimi ni mgeni jukwaani, nataka kushiriki kujifunza lugha.
Lakini kwanza ni na swali: nini tafsiri ya neno MILITARISM. the ideology of building a strong armed force to expand a country's economic...
Huku wanasiasa wakitusukumilia jumuiya ya afrika mashariki ni lahaja ipi yastahili kutumiwa rasmi. kuna kiswahili cha mwambao - cha dar na mombasa; kunacho cha mijini - km nairobi kuna sheng...
its not that i'm not proud of our language, swahili is the best i rock it wherever i go, but on the international stage it just doesn't cut it. we need to speak more english, i noticed this is a...
Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let's take a sneak peek at developments so far: It's the high time you buy a kamusi as things...
Isingekuwa vigeni, mwanamke kuchumbia
Ningepita mitaani, mume kujitafutia,
Nisimuudhi Manani, ndio nimejizuia.
Mke asiye na mume akamchumbie nani?
Ndege maingainga, si jambo la kujitakia,
Mume...
Nakuasa usikie, usemaji ni karama,
Maneno usirukie, sema mambo kwa kupima,
Utamkapo ujue, neno halirudi nyuma,
Ukosapo neno jema, kheri ujinyamazie.
Kheri ujinyamazie, ovu huleta khasama,
Majuto...
Mbili ziro ziro tano, kwetu ulijipitisha,
Ukaita mikutano, sera zako kutupasha,
Katika ule mtoano, oktoba uliokwisha,
kipi kinachokufanya makwetu kuturudia?
Siku zile ulisema, tena ukiwa bayana...
Unapoulizwa swali, Kinachotakiwa ni jibu,
Usingoje mara mbili, na kutafuta sababu,
Wewe useme ukweli, au bora uwe bubu,
Swali halijibu swali, kinachotakiwa ni jibu!!!
Wewe toa hilo jibu...
Ninalo Swali jamani, linalotatiza kichwa changu
Kila lijapo mawazoni,laniongezea wazimu
Nashindwa niseme nini, nabaki ni kama bubu
Wali uliwe kwa mkono, au Kijiko Jamani?
Wa maharage...
Pole shekh Yahya,
Uso kuwa na haya,
Na utabiri mbaya,
Ulojaa mabaya.
Umejiweka mtukufu,
Na huna utakatifu,
Una mawazo mafu,
Tena toka kwa wafu.
Unatuletea ya kuzimu,
Tuso abudu mizimu...
Namshukuru mwenyezi,sifa na takbira.
Labana afanya kazi,akifata yake dira.
Humpa naye mridhi,jazha nema ongezea.
Humnyima kwa uwazi,yule anaye mkusudia.
Huyu ndio Mwenyezi,Mungu tunaye msujudia...
Ugali kweli mtamu,
Kwa huo ninayo hamu,
Kwa mboga yenye saumu!
Ugali tangu shuleni
Jamani hadi jeshini
Nikaula na chuoni
Ugali iwe mchana
Kwenye upepo mwanana
Mwenzenu...
Wadau ninaomba msaada wa tafsiri ya maneno haya kwa kiingereza
Fenesi
Tope tope
Stafeli
Kweme
na pia namna ya kusema 'Thanks in advance' kwa kiswahili
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.