nataka niote bonge la ndotoo! siyo kijindoto cha kitoto' yaani kesho ukiniona aah! jitu hilo we kujigonga tu kwenye ugokoo' ndoto ndefu kama HESHIMA THABITI wa UCONN. Enh! cjui niote mafumbo na...
Ukiondoa nyimbo chache na wanamuziki wachache wa Bongo Flava kiujumla naomba nikiri kuwa nachukia bongo flava; siwezi kusikiliza zaidi sekunda chache za mwanzo, nachukia wanavyoimba utadhani...
Mara chache chache, nimekua nikiwafuatilia akina Kibonde na Gadna, Clouds FM, ktk kipindi chao kinachoanza karibu kila siku jioni. Siku moja waligusia utofauti wa matumizi na utofauti wa maana ya...
Jamani naombeni msaada. Nnamapungufu ya kuongea lugha hii ya kigeni (english/kingereza) lakini napenda niijue vizuri na niweza kuongea kama naongea kiswahili. Nifanyeje niweze kuimudu?
WAKATI wazungumzaji wa Kiswahili wakiendelea kukibananga, watunga sera na watoa maamuzi wameisahau lugha hiyo.
Hivi ndivyo mtafiti na mtaalamu wa Kiswahili, Sheikh Khamis Mataka anavyoyatazama...
Wakati tukijaribu kukikuza kiswahili chetu kwa kuongea na kuandika, na wakati kimataifa lugha rasmi ya Tanzania ni Kiingereza na Kiswahili, je, ipo haja ya kutumia lugha moja kati ya Kiingereza au...
Waheshimiwa, nina maswali mawili kuhusu ziwa Tanganyika na jina lake.
a) Yuko anayejua maana asilia ya neno "Tanganyika"?
Nilisikia ni TANGA (=la jahazi) + NYIKA (=pori).
Nina wasiwasi sana...
prof. mmoja wa uingereza alikuwa akimfundisha mwanae somo la geography sasa ilipofika wakati anamwelekeza pande kuu nne za dunia mwanae alikuwa kilaza anashindwa kukumbuka, kwa hiyo akaanza...
Kuna baadhi ya misemo inanitatiza, lakini naamini hapa kuna wajuzi wa lugha, ya Kiswahili ambao watanipatia msaada.
Ninachotaka kujua, Je nini asili au chanzo cha misemo hii kutumika?
Misemo...
Jamani, kuna suala linanisumbua kidogo. Chakula umenunua mwenyewe, umekileta nyumbani, mpishi ni wako mwenyewe, umepikiwa, chakula kimeiva, kipo mezani.
Kuna ulazima kila unapotaka kula, uombe...
Ngugu wana JF nawatakieni weekendi njema, lakini ningeomba nisahihishwe katika haya;
a) Msichana hupewa mimba
b) Msichana hubebeshwa mimba
c) Msichana hutiwa mimba
Hivi karibuni nilikwenda kutafuta vitabu katika taasisi ya kiswahili pale chuo kikuu mlimani {TUKI} na katika jengo la Quality Plaza lililoko Nyerere Road, pale kuna duka moja, nadhani linaitwa...
Nawasalimu wana JF. Mwanajamii nimetatizwa na hili lifuatalo: Naomba wana JF wanisaidie jinsi ya kumuuliza kwa kiingereza Baba yangu Mzazi kuwa mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwake au kwenye...
Papai jama papai, lanipendeza machoni,
Kwa yake rangi papai, halinitoki usoni,
Hata nikifunga tai, nalisogeza mdomoni.
Nikilikata papai, kumbe lishaaoza ndani
Ukiliona ni zuri, machoni...
Nawauliza manguli, wazoefu wa kulumba
Nimekiona kivuli, pichaye imenifumba
Inanikata kauli, mashairi kuyaimba
Tupate elimu gani, Tanzania iwe bomba?
Naanza na mlimani, vitivo vyenye...
Kumekuwa kukiandikwa na kutangazwa mara kwa mara kwenye vyombo vya habari kwa kutumia msemo huu" Inahofiwa watu kadhaa wameumia katika ajali hiyo". Neno KUHOFIA linaleta maana iliyokusudiwa...
KTY: Kwa wale mnaoitakia mema lugha yetu ya Kiswahili zingatia tangazo hili/ FYI: For those who wish our Kiswahili language success note the announcement below and act accordingly:
We are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.