Leo nimekiwa nikiswahilisha baadhi ya programu na nikakumbana na maneno ambayo sikuweza kupata tafsiri kwa ajili ya matumizi ya kwenye kompyuta:-
animate - give lifelike qualities to...
Naanza yangu qauli
Kwa jina lake Jalali
Alomleta Rasuli
Kuiongoa duniya
2
Reh'ema zake A'zizi
Zishuke kwa Mwokozi
Kipenzi chake Mwenyezi
Na Aali zake jamiya
3
Na S'ahaba zake...
Ndugu zangu Watanzania na wale wote mnaozungumza Kiswahili,
Kwa mwaka wa pili sasa nimekuwa nikijushughulisha na kuswahilisha programu za kompyuta. Mwaka huu tunapenda kufanya programu...
Wajuzi wa lugha..naomba kufahamu neno KUCHAKACHUA linatokana na nini na maana yake ni nini.Miaka ya nyuma kulikuwa na bendi inapiga muziki kwa style ya "CHAKACHUA" - Je kuna uhusiano wowote na...
The World Cup and the credit crunch have all influenced the latest edition of the Oxford Dictionary of English.
The vuvuzela, a horn instrument blown by football fans during the World...
Waungwana,
Hebu jamani tuache uharibifu wa lugha yetu maridhawa, Kiswahili. Ninayo mifano mingi ya uharibifu, lakini ngoja niwape hii michache.
1. Tangazo la Zain linasema "Ongea kwa Sh 1 masaa...
Kuna mada nimeiona inamzungumzia mzee kidogo lugha imekwenda pembeni anyway
kwetu kenya twawaita maimuna nkasema leo nije uliza watanzania katibuw enu maimuna??
kama ndie akiitwa nje shuguli za...
Jana tulikuwa na boss mzungu mahala tunakula stori mara akaanza kutuuliza maana ya majina ya maeneo mfano Mwananyamala, wasahikaji wakawahi mtoto nyamaza na kumtafsiria kwa kingereza. Alipouliza...
Ngoma hii ngoma gani, ngoma isiyo kelele
Wanaicheza kwanini, pasipo vigelegele,
Majasho yote ya nini, bila ngoma na kengele,
Sichezi miye sichezi, ngoma isiyo kelele!
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti...
Nitayasema haya,
Bila kuyaonea haya,
Tuuche umalaya,
Utatupeleka kubaya.
Viwili Mola aliumba,
Kutimiza yake namba,
Mme alipomuumba,
Na mke pia akamuumba.
Ni vipi wewe wataka,
Tena tamaa...
Rejea kichwa cha habari hapo juu;neno lenyewe ni SOCIALIZATION
Wakuu hapa jamvini naombeni msaada wenu iliniweze kumfahamu na kuwafahamisha wengine pia.
Waungwana,
Nimekuwa nikitafuta kamusi ya kiswahili inayoweza kukidhi fani kama za Kompyuta, Internet na Telecommunication, bila mafanikio.
Kama kuna mtu yeyote anafahamu ni juhudi gani...
Good morning
I need to translate a phrase from Swahili into English, but I do not know why it gets no automatic translation.
I hope some of you can help me.
The phrase is:
Nahiitaji uwe furaaha...
Nini maana ya WOZA, naomba kuulizia
Neno linanitatiza, kila nikifiria
Wale nilowauliza, jibu hawakunipatia
Nipeni maana yake, wale mnaofahamu.
Nilimwuliza ayubu, jibu hakunipatia
Akajifanya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.