Wanajamvi swali la kizushi
Una rafiki mchina au mfaransa hawajui lugha zaidi ya lugha zao na wewe hujui lugha zaidi ya kiswahili au kingereza utatumia nyenzo gani kuwasiliana nao kimaandishi...
Ujamaa uliikosesha Tanzania ajira za Kiswahili Marekani
Bado Tanzania ina nafasi na uwezo mkubwa wa kuikuza lugha ya Kiswahili nje ya mipaka yake. Huu ndio mtazamo wa Profesa Pete Mhunzi...
wapendwa leo Geof amewashukuru wanaJF wote kwa ushirikianao waliotoa kufanikisha arusi (wataalam wanasema sio HARUSI) yake . kichwa cha habari cha thread yake ameanza "SHUKRANI.........." Sasa mie...
Ukumbi ulikuwa umejaa watu toka sehemu mbalimbali za jiji la Mwanza. Ilikuwa ni siku ya pekee kwa wanamitindo na warembo wa Jiji hili. Muziki wa kizazi kipya ulikuwa ukitumbuiza huku ukipokezana...
Kuna methali nimeisikia tangu utotoni lakini ukweli ni kwamba sijui maana yake wala inatumika katika mazingira gani,Hivi wana JF mnaweza nifasiria hii methali na kunipa matumizi yake?Ganda la muwa...
Wana JF nimekuta makala hii katika Blong ya Jielewe. http://bwaya.blogspot.com/ iliyoandikwa siku ya jumatano 9 Desemba, 2009 Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara yenye Kichwa cha habari Soma...
kuna thread kule jamvini inaema "mwanfunzi ajifungua mapacha watatu"
hivi huu si upotoshaji wa lugha? mbona inajulikana kuwa mapacha ni wawili?
mi naona ksema mapacha watatu ni sawa na kusema...
kichaga kukiongea rahisi (kwa mchaga) ila kuandika ni ishu. kuna maneno hayaandikiki mfano:
shira (vita). hiyo 'r' kwenye kizungu ingetamkwa read. r inateleza
mara (majani). hiyo 'r' sijui...
Naomba mnitafsirie sentensi hii kwa kikabila chenu: Jaribu kuwa as faithful to the words here as possible (yaani kile kilugha chenyewe hasa). Unaweza ukatafsiri neno kwa neno: Halafu niandikie ni...
Maneno haya ni ya Kiswahili?
Wakuu, maneno yafuatayo hutumika sana katika mazungumzo ya kiswahili.
Je matumizi ya maneno haya na maana zake humaanisha kuwa maneno haya ni ya kiswahili?
Mdosi...
Yapo mengi ya aina,
Mapenzi ya kila namna,
Ya wazee na vijana,
Mioyo inapeana;
Na lipo penzi la kichina!
Yapo yale ya kizungu,
Ya weupe na wanungu,
Yapo hata ya machangu,
Na ya kufukuzwa na...
Wanajamvi nambieni...
Ni urafiki gani huu, kati ya usingizi na kifo?
Ni undugu gani huu, kati ya hofu na mauti?
Ni ujirani gani huu, kati ya mashaka na upotevu?
Ni ushirika gani huu, kati ya...
Habari zimenifikia kuwa hadithi yangu ya Tanga Usiku wa Manane imeanza kuchapwa katika gazeti la Tanzania Daima na itaendelea tena siku ya Jumamosi; usikose. Mwambie na jirani yako... Niko...
Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.
1. Homophobic
2. Homosexual
3. Bisexual
4. Heterosexual
5...
Swahili (Kiswahili) is a Bantu language spoken by various ethnic groups that inhabit several large stretches of the Indian Ocean coastline from southern Somalia to northern Mozambique, including...
Hivi karibuni niliulizwa jinsi ya kuandika maneno haya kwa Kiswahili! Naomba msaade jamvini hapa. Labda vijisehemu hapo chini vitafaa kwa njia moja au nyingine kufanya hii:
1. kuathirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.