hili neno la kingereza lina utata katika matumizi. maana yake hasa ni nini? kwenye barua utakuta Drea sir/madam. tunaambiwa dear ni mpenzi, so tuseme mpenzi kwenye barua rasmi? maana yake hasa ni...
Mapenzi yenye kuwadi, kwa vipi yawe ya moyo?
1.
Ndugu nipeni kilinge, ninalo la kuwaliza,
Lazima sasa niringe, kwalo ninalouliza,
wambea nao wachonge, beti zote kumaliza
Mapenzi yenye kuwadi...
Ndugu wana JF Hbari za hapa nyumbani natumaini wote wazima wa afya.
Wandugu, nina swali langu kwamba ni chuo gani kinachojulikana kitaifa / kimataifa au nikionyesha cheti cha ukalimani...
Jana jioni nilisikia Radio Clouds, wakiuliza tofauti baina ya maneno: tundu, tobo na shimo. Kwa bahati mbaya sikufanikiwa kusikia majibu ya wasikilizaji yalikuwaje. Nimeona si vibaya nikauleta...
Sometimes, I could not understand when someone writes these words. I just ended up ignoring without finding its real meaning. Or sometimes, I thought that he/she has misspelled (amechapia maneno)...
Hodi hodi hatutaki,
Sisi tuko faraghani,
Tunakula mishikaki,
Mwaja sasa ni kwanini,
Wageni muwe pembeni.
Moyoni hatuna chuki,
Hilo liwe akilini,
Na hapa hatuondoki,
Hata pakiwa gizani,
Wageni...
Nimekuwa nikikwazwa sana na baadhi ya watu wanaonitumia ujumbe mfupi wa maneno kwa kwa vifupisho na pengine kwenye simu ya mkonon (SMS) na imekuwa hivyo pengine hata kwenye barua pepe (email) pia...
I was rejected by all people, but Jesus loved me,
I was full of all evil, before the Spirit filled me,
I was, are you!??
I was lost in a valley, and his hands brought me up,
I was lying in...
Muumba Mwenye viapo kila aina,
Anatuhakikishia kuwa ipo Siku itasimama,
Wakati ukiwadia wa kuisagasaga milima,
Mwezi na nyota zitakapokunjana,
Ole wao siku hiyo hao wanaokana.
Aliyetolewa...
wapendwa, mi sikukuu hii ya krismass na mwaka mpya nasherehekea pamoja na rafiki yang mmoja mchina. pamoja na mambo mengine huwa ananifundisha kidogokidogo kuongea kichina, sasa juzi tukiwa...
Nasikitika sintoweza kuweka sehemu yote ya shairi hili kwa sababu za zilizo ndani ya uwezo wangu ukizingatia hali ya mijadala ya kisiasa na upepo dhoruba ndani ya CHADEMA. Enjoy!!
Ikiwa chungu...
Mpenzi wangu wa moyo, uzurio nauenzi,
nachunguza wangu moyo, nipate japo utenzi,
niseme bila uchoyo, jinsi gani nafa ganzi,
kutoka ndani ya moyo, nakupenda ua ridi.
Si kwa umbo wala sura...
Nimeivuta manati, kumlenga ndege huyu,
Nikasikia sauti, siyo yake mbayuwayu,
Kutoka tawi la mti, si mbuyu ni mkuyu
Ndege anataka jina, bila jina hatunguki
Nimwite nani?
Kwanza nipe hilo...
Kiswahili kweli si chetu. Chetu ni lugha mama. Nimeona kwenye cnn mwarabu akimwonyesha ripota. And this is "miswaki". Ya vijiti lakini. hata hili neno kumbe tumedesa!
jamani naomba mnisaidie kiswahili fasaha juu ya wingi wa neno albino. Mara nyingi watu wamekuwa wakiwaita walemavu wa ngozi maalbino jambo ambalo kwa mtazamo wangu naona kama sio sahihi. Mfano mtu...
Thanksgiving is around the block
Looking for a turkey to moist out my coke (sic)
A turkey which has the thickest juiciest crutch (sic)
Ain't you the one…my naked turkey beau?
I wanna a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.