Wadau, mimi natatizwa kidogo na matumizi ya maneno bibi ba bwana. Ninavyofahamu, bibi na bwana inatumika kutaja watu wawili wa jinsia tofauti ambao uhusiano wao ni rasmi (i.e Mr and Mrs)...
LAST BREATH
From those around I hear a Cry,
A muffled sob, a Hopeless sigh,
I hear their footsteps leaving slow,
And then I know my soul must Fly!
A chilly wind begins to blow,
Within my soul...
Hivi mwanamme ana maana gani anaposema 'girlfriend wangu wa kike' au mwanamke anaposema 'boyfriend wangu wa kiume'.Maneno haya nakutana nayo kila mara kwenye mazungumzo na watu na nimechoka...
Habari za leo wanjf,Leo ni sikukuu ya HALOOWEEN, naomba kufahamishwa tafsiri halisi ya neno HALOOWEEN kwa kiswahili, au maana yake kwa kiswahili tunaweza kufananisha na sherehe za mila ghani za...
NAPENDA KUANDIKA
Kalamu ya risasi tosha, naandika na kufuta.
Matendo yalonikosha,pia yalonikokota.
Yote nayaoanisha, wazo kamili napata.
Kwa njia ya ushairi, mie hupenda andika.
Lugha yangu ni...
Mlio Tz naona hili neno mnalitumia sana.
Nimeliona mara lukuki kwenye blog moja.
Ninavyojua My= belong to me
Iweje hili neno sasa linatambulishwa kwenye jamii? Utasaikia mtu akisema Jamaa...
Je unakubaliana na huyu Muungwana anayeandika matumizi ya haya maneno hapo chini?
Si vibaya tukapeana japo nyepesi nyepesi za lugha ya kiswahili baada ya kuonekana watu wengi kuitumia lugha hii...
Ngugu wana JF,naomba kama kuna mtu yeyote humu ndani anayejua hivi vitu kwa kiingereza vinaitwaje anisaidie,sababu nimeshahangaika mpaka nimeamua tafuta msaada kwenu,kama kuna mtu anajua...
MOYO MPWEKE
Ni mti uso tunda, vivyo hivyo moyo pweke,
Unabakia kukonda, kulikosa tunda lake,
Tena huo umepinda, wangojea siku yake,
Moyo ule usopenda, huo ndio moyo pweke!!
Ndege asiye kiota...
1. Unamwita mtu usiyemjua(wala kukutana nae kabla)aunt au uncle.
2. Asilimia 90 ya CD pamoja na cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki (sio original...
Mtu kwao anatunzwa, hata kama hana dini,
Mtu kwao anatunzwa,ili apate thamani,
Mtu kwao anatunzwa, mfanowe halingani,
Nyerere kweli mwalimu, kwa mengi alotufunza
Uongozi msimamo, bila kutaka...
MUHOGO MTAMU
Tule muhogo jamani, chakula cha wananchi.
Wala tusione soni, tafuna ilo mibichi.
Ifuateni sokoni, hamsini tu jisachi.
Chakula cha watu wote, yupi asema ukata.
Wakulima jitumeni...
'She sat in the restaurant,waiting anxiously. She was 16 years old,and she was waiting for a boy. His name was Yona. She and Yona had been classmates in primary school,and in pry 3,he'd been her...
Siku hiyo ya jumatano
Nimelala zangu kitandani , nasikiliza love and dedication ni kipindi kimoja kinarudhwa na radio moja maarufu jijini dar es salaam , kama kawaid nikawa nasikia watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.