mara nyingi nimesikia ikisemwa maji safi na salama.naomba kuuliza,je maji yanaweza kuwa safi lakini sio salama au yanaweza kuwa salama lakini sio safi?
Mfano: Kiswahili
2me = tume
cmu = simu
cc 2nakuja na 4mu ye2 = sisi tunakuja na fomu yetu
gari imetta = gari imetitia
tutawacliana 2jue m2 we2 kama u hai = tutawasiliana tujue mtu wetu yu...
MY PROMISES TO YOU
I can not promise you the world
Even if I could deliver it to you
I can not promise you the heaven
Even if I could grant it out of the blue
I can't promise what I could not...
Mimi mbwa nimefuga, ili nyumba ailinde,
Kwa jirani nimeiga, anaye kama kipande,
Wabaya akiwaniga, na kuwafanya wakonde,
Nini nitampa mbwa, ailinde nyumba yangu.
Cha ajabu huyu wangu, kutwa kucha...
Nimeandika shairi la ubeti mmoja naomba kama tunaweza kuuendeleza!
Hodi hodi naingia, Foramuni kuwajuza,
Wageni wamevamia, Nchi kuiteketeza,
Wenyeji baadhi pia, Hasa tuliowakweza,
Tanzania...
Penzi la kumegeana, si penzi la kupeana,
Penzi la kutegeana, kwa kibaba kupeana,
Penzi la kutishiana, la nini la kugawana?
Penzi la kumegeana, si penzi hilo hiana!
Penzi la kumegeana, ni...
Natumaini wazima wa afya wana jf atunabudi kumshukuru Mola, neno karibu ni neno la kistaarabu kwa kila Mtanzania
wherever you go, sio karibu every things 'NO' KARIBU...
Wa kijiji nimetinga, na swali nawapangia,
Magwiji toka Iringa, wa Tanga naulizia,
Na wa pwani mnotunga, fanya hima kujibia,
Ndege asiyewindwa, akinasa aliwe?
Ametoka bwana Kombo, keenda zake...
Salamu marafiki.
Nimekuwa nikisoma mabandiko kadhaa katika ukumbi. Nimeona kuwa kuna watu wana tabia ya kufupisha maneno kama kusikia basi nakadhalika kwa kueka herufi "c" badala ya herufi "s"...
Salaam wenzangu hasa wataalamu wa habari za kijeshi. Naomba msaada kuhusu maneno kwa ajili ya vitengo ya kijeshi.
Kiingereza: Company, battalion, regiment, brigade, division, corps, army
Nasikia...
habari zenu wanajamii .. mimi huwa najitatiza swala zima la huyu samaki pomboo
sijapa kumuona na pia sijui kizungu aitwaje? je ni kama wale binti wazuri wa kusadikaka katika hadithi zetu samaki...
Tanzania nchi yangu, yenye uso wa kungaa,
Afrika na Ulimwengu, sifa tele tapakaa,
Wahindi nao wazungu, hakuna wa kuhadaa,
Jinsi ilivyo sifika, kwa uongozi thabiti.
Ilijulikana pote, Tanzania ya...
Kwa siri yake mtungi, aijuaye ni kata,
Na nyumba bila msingi, utapasuka ukuta,
Kila palipo na wengi, na mambo ya yatambata,
Kugunduliwa kompyuta, bin'Adamu hana kazi.
Binadamu hana kazi...
Kutoka na misemo mingi ambayo huchafua lugha kwa kutumia misemo hii mimim naona si vema kutumika na kufindishwa mashuleni kwa watoto hutafsiri misemo hii kwa matendo na kusimiliana na kuyafanya...
Kina mama wenye watoto daima wanaitwa kwa majina ya watoto wao, mf. kama mtoto wake anaitwa "Mfaume" basi mama yake ataitwa "Mama Mfaume". Miaka ya karibuni - kama sikosei - kina mama wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.