Maneno haya ONESHA na ONYESHA hukanganya sana kimatumizi. Baadhi husema sahihi ni ONESHA na wengine husema sahihi ni ONYESHA, mimi nasema yote ni sahihi, wewe unasemaje?
Watanzania wenzangu, nimekuwa nikjiuliza sana bila majibu ya uhakika. Hivi kwa nini ili nipate kazi ndani ya nchi yangu ambayo tumejihalalishia kwamba Kiswahili ni lugha yetu ya Taifa mpaka...
Bure mnazuzuka, enzi ni kama maua,
Hayakawi kunyauka, hili ninachanganua,
Chini yakapukutika, mwisho wake hivyo hua,
Enzi ni kama maua, hayakawi kunyauka.
Maua hunawirika, vizuri yakachanua...
Nimekuwa na pata wakati mgumu kukubali au kukataa katika utumiaji wa maneno/sentensi ifuatayo, "Naomba unipatie dawa ya mbu."Hii inatumika sana pale mtu anapofika dukani/supermarket kununua hii...
Asalamaleko malenga, magwiji mlobobea,
Wa kijiji nimetinga, na swali nawaletea,
Ninyi mlioko Tanga, Dodoma na hata Mbeya,
Kati ya hawa watano, amuoe binti yupi?
Kijana kanijongea, moyoni...
huwa nawasikiliza sana, hasa wasanii wetu na baadhi ya watangazaji. utawasikia wanasema, "hii nyimbo yako..." wanachanganya wingi na umoja hadi wanakera. waseme, "huu wimbo wako..." kitu...
Kila fani ina zana, nyingine zaitwa nyenzo,
Iwe kazi ya kitwana, yenye malipo ya dezo,
Au kazi ya kibwana, yenye mapochi ujazo,
Jembe lisilo mpini, halifai kwa kilimo!!
Jembe lisilo mpini...
Ninayasifu mahaba, ya wale walopendana,
Mapenzi yasiyo haba, moyoni yamejazana,
Siyo yale ya kuiba,hadharani kupeana,
Penzi ni kupenziana, mpenzie akupenziaye!!*
Ni mguso wa mahaba, mikono...
It is Tuesday morning
Sunny and bright
Still my heart is aching
For the passion of the night
A smile and a laughter
The touch and the kisses
Everything better and sweeter
Like the bed of...
Kituko nimekiona, hapa kwetu kijijini,
Kuna mtu ni kijana, anaitwa bwana Joni,
Ana sifa ya aina, maana sijabaini,
Kinyozi asiyenyoa, huyo kinyozi wa nini?
Wanamuita kinyozi, apitapo mtaani...
Unapoulizwa swali, Kinachotakiwa ni jibu,
Usingoje mara mbili, na kutafuta sababu,
Wewe useme ukweli, au bora uwe bubu,
Swali halijibu swali, kinachotakiwa ni jibu!!!
Wewe toa hilo jibu...
Lipi au yapi ni sahihi katika sentensi zifuatazo, naomba msaada kufahamu matumizi fasaha tafadhali.
--- Waziri ameapishwa na Rais
--- Waziri ameapizwa na Rais
--- Waziri atamwapisha katibu wake...
Si sahihi kuandika maharifa, maalifa: Sahihi ni maarifa
Si sahihi kuandika hushahuri, ushahuri, ushauli: Sahihi ni ushauri
Si sahihi kuandika agharabu, Hagalabu: Sahihi ni aghalabu*(aghlabu)
Si...
Bwana Juma,mkazi wa Mwanza maeneo ya mabatini mlango mmoja aliamua kwenda kwao kijijini kuoa.Alifanikiwa kupata binti mzuri wa sura na tabia na kila mtu alikuwa akikubali ya kuwa kweli bwana Juma...
Kwa muda kiasi sasa nimekuwa nikisikia msemo wa 'Habari ndiyo hiyo'. Je huu ni msemo ambao upo sasa katika jamii ya Tanzania? Na kama ni hivyo chanzo chake ni nini? Natanguliza shukrani.
Hatred or hate is a word that describes intense feelings of dislike. It can be used in a wide variety of contexts, from hatred of inanimate objects (e.g. homework, vegetables) to hatred of other...
More than 3.5 million people have admitted shoplifting in the past five years, according to new research. What do they take?
For some it is an addiction, for others a job or a...
Nashindwa kujua maana hasa ya neno SHEMEJI.
Nasikia watu wakiitana shemeji shemeji.
Sipati maana halisi la neno hili shemeji kwani hata watu walioonana kwa mara ya kwanza, hawasiti kuitana...
Binafsi matumizi ya maneno haya unitatiza kidogo.Nilipokuwa Mwanza,barafu umaanisha zile rambaramba.Lakini nilipofika Dar,barafu umaanisha lile bonge la barafu la maji matupu ambalo wakazi wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.