Arkansas State offering Mandarin, Swahili classes
Associated Press - June 16, 2008 10:24 AM ET
JONESBORO, Ark. (AP) - Students at Arkansas State University will be able to enroll in...
Waungwana,
Leo nawaombeni tujadili na tuichambue michango ya muziki wa Bongo Flava kwenye istilahi na misamiati ya lugha ya Kiswahili, kama ifuatavyo:
1) Mtoto wa Geti Kali - Msamiati huu...
Hodi hodi wahenga, kijana wenu nna swali,
Kuna jambo lanichenga, akilini natafakari,
Jambo hili la chemba, wawili wanapo vinjari,
ukubwa wa melikebu au mwendo wa bahari?
saizi ya melikebu...
Sitaupoteza muda, ninalo la kuusia,
Hasa kwenu kina dada, ninyi wa Kitanzania,
Nilisemalo si ada, bali onyo na wosia,
Mgomba huo si wako, acha kula ndizi zake.
Aloupanda jirani, acha...
Nabisha hodi watani, mjuao Kiswahili,
Nimetingwa mawazoni, sasa nauliza swali,
Jibu niandikieni, moyo wangu ukubali,
Kula tunda kwa kuiba, kwanini huko kutamu?
Ni tunda naulizia, lile...
Wakubwa zangu,na wakuu wenzangu!
Napenda kuwasalimu kwa lugha ya kwetu.
Mambo! Nadhani kwa pamoja mtajibu Poa tu!
Katika kuinzi na kuiendeleza kiswahili chetu.
Napenda kuileta kwenu Thread hii...
Zamani, kwenye michezo kama mpira wa miguu, mpira wa kikapu, nk; mchezaji akipigwa kwa kutumia kiwiko (elbow) tulikuwa tunasema amepigwa "kipepsi." Kwa nini tuliipa "kiwiko" jina la "kipepsi"?
Je...
Nawauliza malenga, ninyi mlio bobea,
Magwiji kutoka Tanga, na hata wa kule Mbeya,
Hata Tabora Igunga, swali ninawatolea,
Nimle vipi samaki, samaki anayenuka?
Nimempata Mwaloni, ni pale...
Leo ninashangalia, mimi tena siyo duni,
Kwani nimejipatia, furaha nyingi moyoni,
Na nimekoma kulia, imenitoka huzuni,
Binti niliyekutaka, leo nimejishindia!!
Ilikuwa kazi ngumu, miye...
Kwa kawaida mimi sio mpenzi wa kusikiliza radio , ni mara chache sana huwa nasikiliza kwa sababu maalumu , Leo kwa bahati nzuri nilikuwa nasikiliza machache kutoka kituo cha clouds FM ...
Nimefanya kautafiti ka haraka haraka na kugundua kuwa Watanzania wanashukuru kwa namna tofauti kwa kufuata jinsia zao. Na hasa pale ambapo wanajibu shukrani zinazotelewa kwao kwa kiingereza au kwa...
Jana nasikiliza redio mtangazaji anasema "sasa hivi ni saa mbili na nusu kwa saa za Afrika Mashariki"
Mimi naona hapa kuna kasoro. Mtangazaji hajatofautisha kati ya Wakati Na Saa. Saa ni kipimo...
Wana Jambo Forum;
Salama nawatakia, wenzangu wa humu ndani
Nadhani mtapokea, salamu zenye amani
Choveki naulizia, wenzangu mu hali gani?
Amani nawatakia, wenzangu jambo foramu...
Watanzania tuna lipi la kujivunia kama hii report ya Human Development Index inavyyonyesha tupo kuleeeeeeeeeee mwisho kabisa hata Uganda na Vita, Njaa, Umasikini, n. k bado wametupita shame, shame...
He tried hard enough
To make me grab my A4 wood
And for a moment, gazed at the blank spaces
Thought and scrutinized
If it was worth it, or otherwise
For all I really wanted
An end to the...
I know!
I know you are mad and upset
That I didnt leave you alone and yet
I kept pushing and nagging, and asking
About it! I know you wanted me to stop
And leave you alone and be gone!
But...
Baraza la Kiswahili lashutumu wabunge kwa uchafuzi wa Kiswahili
Na Salim Said, MUM
MWENYEKITI wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Suleiman Hega amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano...
Nimepata habari hii kutoka kwenye mtandao wa kiswahili jamani someni habari hii imetulia pia naomba maoni yenu.
Kiswahili as a National and International Language
By M.M. Mulokozi
Institute...
Moyo ulianza kunienda kwa kasi, viganja vilianza kulowa jasho, na koo lilinikauka nilipokuwa nikikata kona kuingia katika eneo la Hospitali ya Bombo, mjini Tanga. Moyo wangu ulikuwa umegubikwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.