Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari zenu watani, mabibi nanyi mabwana, Miye nawasalimuni, kindugu siyo kitwana, Na beti zangu someni, ni hizi za kiungwana, Nina vyakula viwili, nichague kipi kwanza? Ninayo njaa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Napiga hodi watani, wa kijiji naingia, Ngojea niketi chini, swali kuwaulizia, Nilonalo mtimani, beti ninalitungia, Ndege niliyemnasa, mtegoni katoweka Ni ndege niliyemwinda, asubuhi na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
How do you feel when someone greets you with "hey" as they would by saying "good morning" "hello" and the like? Or, find email popping up your screen with subject line, "Hey" you ? Personally...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Wadau leo tupeane shule kidogo kuhusu Kiingereza cha kistaarabu. Ongeza kauli mbadala yoyote unayokumbuka hapa. Naanza: 1. Stupid = Unwise 2. That is a lie = That is truth in reverse 3...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HILI ni wazo langu kwa fikira zangu dogo. Labda niliweke katika swali. Je JamiiForums ina watu wenye mapenzi na Kiswahili kiasi cha kutosha kujitolea muda wao kuanzisha kitu kitakachoitwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Do you speak more than one language? What language do you wish you knew? Which do you think would be most beneficial to know (other than your country's official language)? I speak English and...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Salaam nawatumia, wa bara na visiwani, Mwenzenu nimeumia, ulimi umenihaini, Tamko limetimia, kutenda naona soni, Ee wangu ulimi, mbona umenisaliti? Nilisema kwa dhihaka, nakutaka...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
This is Very Very inspiring! Please Enjoy! When things in your life seem almost too much to handle, when 24 hours in a day are not enough, remember the mayonnaise jar and the 2 cups of coffee...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kikiwa kichafu CHEUPE, kikiwa kisafi CHEUSI. Je, ni kitu gani hiki?
0 Reactions
6 Replies
22K Views
Hii kuna mtu kanitumia,nikaona si vibaya mkapa ladha iliyomo na hata kutoa maoni yenu A good woman is proud of herself. She respects herself and others. She is aware of who she is. She...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi mtu mwenye jina kama lako (wa jina, somo) kwa kiingereza unamwitaje?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Guys,What is an impressive English word that you know.... can you define it , and properly put it in a sentence? Just for starting... Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis - a...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
NIA na shabaha ya mada hii ya Watanzania na Kiswahili ni kujaribu kufufua mada yangu ya awali wakati nikiwa mwandishi wa habari juu ya umuhimu wa Kiswahili katika kuleta maendeleo ya kweli ya watu...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nimefurahiswa na Rais kutukumbusha/kusisitiza kuwa juice kwa Kiswahili ni sharubati, lkn alinishangaza/alinisikitisha pale aliposema "ng'ombe zangu"!! Hiki si Kiswahili sanifu! Watanzania wengi...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Katika kipindi kile palipokuwa na mjadala mkubwa kuhusu Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia toka elimu ya msingi mpaka chuo kikuu,binafsi nilikuwa napinga kwa nguvu zote huku nikiamini kwamba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Je, unajua? Kile kitabu mashuhuri sana ktk fasihi andishi -- "Things Fall Apart" -- cha Chinua Achebe, kimetimiza miaka hamsini tangu kichapwe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MegaPyne
“People often say that motivation doesn't last. Well, neither does bathing - that's why we recommend it daily” – Zig Ziglar By definition motivation means that which motivates, that which makes...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Vyombo vya Habari vinatuchanganya, Chombo kimoja kikasema, Breaking News ni Mpasuko wa Habari, hii ilikuwa wakati wa Kifo cha Ditopile, Redio Moja inasema Breaking News ni habari Mahsusi...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Hili neno 'Breaking news' nafikiri linatumiwa ndivyo sivyo.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Adware Advertising that is integrated into software. Adware is often combined with a host application that is provided at no charge as long as the user agrees to accept the adware. A blog (short...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom