Abdalla, A., 1973. Ushairi wa Kiswahili na Uhuishwe Usiuliwe Zinduko. Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu.
Abdallah, A., 1977. Mashairi ya Miaka Kumi ya Azimio la Arusha UKUTA, Dar es Salaam...
Siku hizi katika vikao, semina, Kongamano na matukio mengine ya aina hiyo kumekuwa na hali ya wanawake kutopendelea sana kutumika jina Chairman kwa maelezo kuwa jina hilo linaashiria mwendelezo wa...
Kuna bwana mmoja ambae anaishi Shinyanga,nyumba ya bwana huyu iko karibu sana na baa.Hakuna kitu halikuwa hakipendi bwana huyu kama kumkuta mtoto wake amesimama karibu na nyumbani kwao akiangalia...
Jana nilibahatika kuangalia hotuba ya mkuu wa kaya aliyoitoa katika mkutano mkuu wa UWT,katikati ya hotuba yake alikosa neno la kiswahili la white paper,akamuuliza Seif Khatibu nae...
Katika jukwaa la JF Doctor kuna thread inayoendelea kujadiliwa yanye kichwa cha habari ''Swala la kutahiriwa kwa wanawake mnasemaje?''. Ningependa wadau wa lugha tujajiliani juu ya lipi neno...
Kuna wakati huwa nahisi labda kiswahili kina upungufu wa maneno, ingawa kuna nyakati zingine huwa nagundua ni uchovu wangu tu katika kuifahamu lugha hii adhimu ndo unanisumbua ila kiswahili kuna...
Waheshimiwa naomba kupatiwa jina halisi la kiswahili la bazoka au big G. Maana haya yote ni majina yaliyotolewa na makampuni yanayotengeneza bidhaa hii.
Nini tofauti kati ya neno 'mdomo' na 'kinywa'? Maneno hayo mawili jinsi watu wanavyoyatumia yamekuwa yananipa taabu. Nadhani kuna tatizo la kisarufi.
Je, kunatofauti kati ya 'kuweka kitu...
Watanzania tunaaminika kuwa ndiyo wenye asili ya Lugha ya Kiswahili. Lakini kuna maneno mengi ambayo tumekuwa tukiyatumia isivyostahili. Mathalan, ni lipi jina sahihi la mkono ambao wengi wetu...
Haley Gant suddenly wished she could celebrate her thirtieth birthday the way her sister planned to celebrate her own. With all her friends, a dozen of the hunkiest male strippers, and enough...
Hello Shy,
Nimeshauriwa na members kuwasiliana nawe ndugu au pia kama kuna yoyote anayefahamu, shida yangu ilikuwa nahitaji kama itapatika hio kupata translator ambayo itanisaidia kutafsiri...
DIBAJI
Ni kawaida kwa watu kuvutiwa zaidi na simulizi za kusisimua zinazohusu maisha ya watu wengine. Ziwe ni simulizi za kweli au za kutunga, uzoefu unaonesha kuwa hadithi hizi zimekuwa...
TUPE NGUVU SUBIHANA!
Na. M. M. Mwanakijiji
(Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.) Quran 1:5
Bismillahi naanza, kwa jina lake Rabuka,
Maliki alo wa kwanza, aloumba Malaika,,
Jalali...
Kuna mjadala ulikuwa unaendelea baina ya wakenya nami nilikuwa mfuatiliaji wa karibu. Hivi ndivyo mjadala ulivyoanzishwa na nikahisi ni somo kwa wengi!
Swahili name for resilience is ukakamavu...
Nawauliza malenga, wa bara na visiwani,
Kwa tungo mnazotunga, majibu nipatieni,
Mwenzenu ninatanga, moyo wangu pepeeni,
Ulimboni ninanasa, ni vipi nijikwamue.
Nanasa nikijiona, niokoe nisizame...
Sasa hivi imekuwa kama kawaida kuona huu mtindo ndani ya sentensi. Mpaka wanahabari kwenye TV nao wamo. Jana tu nimesikia mmoja akiasa serikali kutoa dawa za bure kwa wenye kisukari akianza na...
Namshukuru sana Jalia,
Kurejea Darisalama;
Arusha mpaka Manyara,
Mtafiti sikukwama.
Nimejawa na bashasha,
Mrejesho kuutuma;
Wanazuoni wa Taifa,
Usikilizeni umma.
Ardhi yao Wadatoga...
Najua ni jinsi gani Jamiiforums ilivyoweza na inavyoendelea kurekebisha mambo mengi yanayohusu maendeleo ya nchi yetu.
Naomba tusaidiane kuwambia waandishi wa habari kutochanganya kiswahili na...
pamoja na mapungufu yake yote, Rais mstaafu Ben Mkapa kutokana na kutumia kiswahili fasaha katika hotuba zake, alituachia maneno mengi ameyaingiza katika matumizi ya kila siku ya lugha yetu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.