Napatwa utata pale mtu anapoulizwa jina lake au kuagizwa aandike jina lake, kisha anajibu au kuandika, mimi ni fulani fulani fulani ( John Alfa Mohamedi).
Ni sahihi mtu kujibu au kuandika majina...
Nawaza kuwa ingekuwa vema kukawa na lugha moja ambayo itakuwa ndiyo Lugha rasmi ya ulimwengu wote.
Kuwepo kwa Lugha moja rasmi ya ulimwengu, kungeleta faida zifuatazo:-
Kurahisisha mawasiliano...
Huenda si hoja mpya, lakini najiuliza endapo tunajua kwamba Kenya inanufaika zaidi na Kiswahili licha ya kuwa na wazungumzaji wachache kuliko Tanzania?
Nasema hayo kwasababu kibiashara au...
Tanzania ni taifa kubwa katika A.Mashariki. Cha kushangaza ni kwamba hatuna ONE OFFICIAL language. Tunatumia Kiswahili mitaani, kwenye mikutano,nk. lakini tunafundishwa Kiingereza mashuleni na...
Neno Nafikiri humaanisha kufanya uchambuzi kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa jambo fulani kwa kutumia ubongo. waingereza hutumia "I think"
Neno Nahisi humaanisha utambuzi wa jambo au hali fulani...
Namfundisha mwanangu kiswahili sasa kaniuliza hii spana inayofungua bolts nyingi tofauti inaitwaje? Jibu najua ni Spanna Malaya..lakini hili jina halijakaa sawa kwa mtoto mdogo, maana anaweza...
Kwanza, salaam za dhati ni kwenu ninyi ndugu, nimetafiti kidogo juu ya neno ASILI na CHANZO lakini bado nakanganyika kimatumizi hadi inafika wakati naamua kuyatumia popote tu hali ambayo imenipa...
Helena, mwanamke mwenye ujauzito wa miezi mine, amekaa sebuleni, ndani ya nyumba nzuri ya kifahari, waliyonnunua na mumewe Samson, anawaza na kutafakari maisha ya ndoa yake yenye miezi mitatu tu...
wasanii wetu hasa wa bongo fleva huwa wakati mwingine wana nyimbo nzuri sana sema tatizo ni matamshi ya maneno katika nyimbo hizo. hili nadhani linachangiwa na lahaja na kiwango cha elimu pia...
Wanajamii,
Niliwahi kusikia kuwa Lugha hukua, hudumaa na Lugha yaweza kufa.
Mimi najiuliza endapo Lugha ya Kiswahili inakua, au iko katika hali gani?
Je nawezaje kujua kama kiswahili kinakua au...
WAKUU!
Udhaifu mkubwa umejionyesha kwa watanzania 'WAZAWA' katika utumiaji wa lugha yetu ya kiswahili.
kumekuwa na kamtindo ka kuitafsiri lugha ya kingereza MOJA KWA MOJA KWENYE KISWAHILI,bila...
Vyombo vya habari ni njia moja nzuri sana ya kuboresha lugha na njia mojawapo hatari sana ya kuharibu lugha tena kwa kasi sana..., Leo katika pitia pitia magazeti ya nyumbani katika mojawapo ya...
Weekend hii nilikuwa nimepumzika nyumbani na nikatembelewa na rafiki yangu mmoja toka Uganda. Huku tukiwa tunapiga porojo za hapa na pale tukiwa tunasikiliza bongo radio mara wakapiga nyimbo ya...
I don´t need you
I don´t need friendship
And I don´t need flowers in the Spring
and don´t need you
And you surely don´t need me.
I don´t need love and affection
And I don´t need peace and...
aah! nd, zangu mbona hivyoo! mnafika huku hata kunishtua! au mliogopa ntashtuka na kuanguka kwa shinikizo? si tatizo ningeamka tu hata isingekuwa tatizo! lakini unajua nini mwenzio! aah! aloo...
Kuna watu wengi ambao bado hutumia baadhi ya maneno ya kiswahili kimakosa. Leo nimeona kidogo nielekeze japo kwa ufupi usahihi wa matumizi ya baadhi ya maneno
1. Tafadhali sema, Huu ufunguo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.