Confuse=kuchanganya. Hili neno bwana nimekutana na wa2 kadhaa wa afrika na nje (nnje) ya afrika wanalitamka [konfAs] mimi nimezoe kulitamka [konfYUZI] tangu sekondari. Which is which kwa wale...
By. M. M. Mwanakijiji
You walked away from me
In anger and accusations
Of things you never mentioned
left me with tears on my face
sobbing and crying like a baby you dumped me
You walked to what...
I'll tell you why I hate routine;
Wake up in the morning
get the kids ready to school
Hurry up to beat the traffic
Get to work sleepy and cranky!
Find an assignment that I was supposed to have...
BELINDA WA MAISHA YANGU SIMULIZI YA MAPENZI
Pingu za maisha ni kitu cha furaha na cha kutamaniwa na Binadamu yoyote yule.Ni siku ya furaha sana na ina kumbukumbu nyingi sana katika maisha...
mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog...
Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu.
Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara...
Chapter one!
____________________________________________________________ _____________________________________
Where am I? I don't recognize this place; an extravagant house in a...
WanaJF,
Naomba msaada katika matumizi sanifu ya maneno haya, haswa pale inapotokea nimeulizwa na mtu asiyejua Kiswahili. Mfano mtu akiniuliza katika Kiingereza tafsiri ya:
'Milk' in Swahili -...
Ndugu Wanalugha, baada ya kuhamasishwa na mjadala mkali kuhusu uzawa, uasili, uzalendo na uraia nimeamua kubadili jina langu lisilo la Kiafrika ili niwe na jina la Kikwetu. Sasa shida niliyo nayo...
wadau kuna hili neno ambalo linashika umaarufu kwa kasi ''CHANGAMOTO'' licha ya kuwa nalitumia lkn sijapata maana yake, wadau naombeni msaada juu ya maana halisi ya neno hilo
MEZA YA FUTARI
Maghrib ilipofika, meza ya kufuturu ikajaa wapambe.
SAMBUSA alivyo mzuri, akatongozwa na BW MKATE WA TAMBI.
Kina MATOBOSHA wakamzoma "woooo umemkosaaa!! !"
"BW.KEBAB...
Vipo vingi vya kuiga, vinavyopaswa kuigwa,
Hivyo mtu akiiga, hata yeye ataigwa,
Ubaya siyo kuiga, ni vile vinavyoigwa,
Kuiga tunakoiga, twaiga na vya kijinga?
Mashindano ya urembo, tumeiga...
Swali nawaulizeni, mabingwa wa kiswahili,
Wanazuoni jibuni, kwa kina kiso bahili,
Hoja zenu zipangeni, kwa vyema ilo ayali,
Ndege asiyetulia, huyo anategwa vipi?
Ni ndege nimpendaye, kutwa...
Nimekuwa nikilichunguza jambo hili ninalotaka kuzungumzia muda mrefu lakini limekuwa linanipa shida kuelewa ni nani wa kubebeshwa lawama au la.
Siku za hivi karibuni, kundi kubwa la watu hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.