Taarab tangu kale imekua ikibadilika.kutoka taarab asilia hadi taarab"baada usasa leo".mabadiliko hayo ni pamoja na kumchora mwanamke akigombea wanaume,malaya,akijisifu kumpoka mwenzie...
Wengi wetu especially wakazi wa Dar ninahakika mnalifahamu jengo jipya la Wizara ya Maliasili na Utalii lililopo kandokando ya barabara ya Nyerere karibu na traffic lights za Chan'gombe. Kiukweli...
Leo nimekwenda Zanaki Sec School, upande ule wa madarasa enye 'Kombi' ya KLF. kule kuna duka la vifaa vya maofisini. Kilichonishangaza ni tangazo llinalosomeka hivi, 'TANGAZO; RIMS ZA PHOTOCOPY...
Habari wana JF,
Hivi translators wa english-swahili kwa hapa tanzania wanapatikana wapi wandugu?
I mean kama kuna chama au organisation yeyote kuhusu mambo hayo.
Binafsi nafanya kazi hiyo...
Kuna hii sentensi, sasa sina uhakika kama ina leta mantiki au la. ila ninependa kuwashirikisha nanyi wenzangu."Baba/mama mimi ni mwanao wa ngapi?" sasa kwa kiingereza sijui ita tamkwaje au...
Napata uvulivuli juu ya dhana hizi"chachu" na "ngwadu",tofauti yake ni ipi?na je ni sahihi kusema kuwa chachu ni ngwadu ila si kila ngwadu ni chachu?mfano,maziwa yanapochachuka huwa ngwadu lakini...
Kiswahili kinabanangwa na kuvizwa hasa na wasomi ambao huchanganyanya lugha ya kiswahili na kingereza makusudi wakijinaki kuwa wao ni wasomi,jamani eleweni kuwa kujua kingereza haimaanishi kuwa...
igp ni kiongozi wa polisi,ni mtu muhimu sana katika idara ya usalama, kila anapotoa hotuba lazima ingilishi sana,mweshimiwa wananchi wengi wanaokutegema hawajui ingilishi,hivi ni lazima...
Kuna mtu ana soft copy ya kamusi ya kiswahili kwa kiswahili? nilinunua Hard copy ila kwa sasa natafuta soft copy ile nisiwe na mizigo mingi ya kubeba (vitabu) pindi ninaposafiri
sipendi kuona watu wanasema usariti!!!badala ya usaliti----wanasema rema badala ya lema-----wanasema haroo badala ya haloo-----wanasemo hiko badala ya hicho------wanasema kukuhalibia badala ya...