Habari wanaJF,
Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu.
Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu...
Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya...
Wakuu nimekuwa nikisoma hapa jamvini na kwingineko watu wanapoandika wanabadilisha matumizi ya herufi L and R kwenye maneno. Kwa mfano, unakuta mtu anaandika daradara badala ya daladala...
Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo.
Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu.
Mwingine utasikia akiseme...
Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili
Waasi wanatumia kiswahili
Wa DR Congo wanatumia kiswahili
Na wengine wengi majirani...
Hichi kingereza nimekutana nacho kwenye ofisi ya msomi mmoja, akimkaripia muajiriwa wake na vikingereza vya kuungaunga. I'm not your friend my friend,wasomi wa Tanzania buana!!
Neno uhuni linamaanisha tabia ya kufanya mambo yasiyofaa au kukubalika katika jamii,hii ni pamoja na matendo ya udharirishaji, uvunjaji wa sheria au kuonyesha ukosefu wa maadili,kwa ufupi ni tabia...
Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake".
SABABU ZA UTATA
(i) Neno...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa napata wakati mgumu ninapoona baadhi ya maneno ya Kingereza haswa katika Technology au professional fulani kukosa tafsiri rasmi. Hapa neno "tafsiri" nina maana ya...
Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker,
The purpose of looking for that person is learning
Anyone interested please check me
Wakuu salaam, tunaendelea na mada yetu ya aina za maneno katika andiko hili tutatazama vitenzi kwa upana wake. Tutaangalia dhana ya vitenzi kwa ujumla pamoja na aina zake. Twende pamoja tujadili...
Bongo/Wabongo hivi neno hili limetokea wapi na maana yake ni nini? Neno hili lilipoanza nilikuwa nikiishi kigoma, kipindi hicho kulikuwa na watanzania wengi walikuwa wakienda Karemii -Zaire (DRC...
Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l"
"Karibu" mtoto anaandika " kalibu"
👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na...
Wadau hamjamboni nyote?
Zipo lugha nyingi za asili kwetu Watanzania lakini kiswahili siyo miongoni mwao
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima pekee
Dominika njema
RIWAYA: KOSA
MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA
SIMU:+255713776843
+255762219759
WHATSAPP:+255713776843
SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA AFYA NJEMA...
Habari ndugu zangu. Nina hamu sana ya kufahamu lugha ya majirani zangu wasambaa. Ni kipaumbele kwangu kwa kweli likija suala la kujua lugha mbalimbali tofauti. Kuna mtu anaweza kunipa mbinu...