Somo la kwanza.
(haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu)
Hujambo
nĭ hăo 你好
Habari ya asubuhi
zăo shang hăo 早上好
Habari ya mchana
xià wŭ hăo 下午好
Habari ya jioni
wăn shàng hăo 晚上好...
Kama kichwa kinavyo jieleza, ningependa kujifahamu jinsi maneno haya yanavyo tumika katika lugha ya kiingereza
Katika kiswahili matumizi ya O-rejeshi (o,ye,lo,po,ko,mo,zo n.k) kama
ataka-ye-...
Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa.
Emperor na empress
Chief
Prince na princess
Crown prince na crown princess
His/her...
Aisee binafsi nakerwa sana na msemo Nyani haoni kundule
Sababu: hilo neno kundule naona kama nimetukanwa vile [emoji2]
Wewe ni msemo gani wa kiswahili una kukera? Na kwanini?
Kuna msemo watu huwa wanasema mtu huyu au yule ana gubu au chama fulani wafuasi wake wanagubu sielewi neno gubu linaashiria nini mwenye kuelewa atiririke hapa tujue.
Kuna mzee mmoja aliniambia...
Habari wadau wa jamvini,
Hope mnaendelea vizuri na mapambano ya kitaifa na uchumi wa kati.
Nilikuwa nataka kujua na kufahamu maana halisi juu ya huu msemo uliozuka wa kwa Mpalange.
Juzi kati...
Binafsi nilimuona hayati Magufuli kama mtu mwenye matendo makali na Tundu Lisu kama mwenye maneno makali.
Naomba maoni yenu katika hili Matendo makali vs Maneno makali
Mungu ni mwema wakati wote!
Wapendwa wanangu, naamini hamjambo. Mie baba yenu ni mzee wa zama za dhahabu. Huwa nasikia neno kimeumana. Sijui maana yake. Mara ya kwanza, nililisikia kule Nairobi aka Nairobbery Kenya, ila...
Safari inaanzia, kwetu nyumbani ndani
Njaa imevamia, kilimo chawa mtihani
Mifugo wamelishia, yote mazao shambani
Tulivyowakatazia, kazuka vita taflani
Kila mmoja achunge, yake mipaka yakazi.
Na...
1 Sentensi Shurutia.
ni sentensi inayohuundwa kwa viambishii kama -ngeli-, -nge-, na -ngali-.
kwa mfano:
(1) ningelikutana naye angelinisaidia sana.
vilevile aina hii ya sentensi hutumia...
Mwalim xaid naomb unixaidie kuomba vyuo maana xixta xalm hajanixaidia amexem unxaidie wewe ama ukiwez, ntatm hela 2mor
..
Tatizo la hawa vijana ni nini mazoea ya kuandika au ni rika
Wakuu,
Kuna hizi kauli wanatumia hawa mabondia zina maana gani na lugha za kabila gani?
Dulla mbabe "Afile munu asigale munu"
Twaha Kiduku " Mako dinda Mako Stamina"
Kama nimekosea...
Pamoja na sintofahamu ya maneno hayo ninayokutana nayo lakini hii sasa inapelekea kukosa umakini wa maneno hasa Kundi na Kikundi.
Kawaida kwenye vyombo vya habari hasa DW au BBC lugha ya Kiswahili...