Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kwa nilivyosikia mimi neno shikamoo maana yake ni "niko chini ya miguu yako. Pia nimesikia hilo neno ni la kitumwa na lilikuwa linatumiwa na watumwa kuwaonyesha heshima wakuu wao. Kuna baadhi...
7 Reactions
356 Replies
109K Views
kwanini? Lugha ya kijerumani ni lugha yenye herufi sawa na za kiswahili kasoro chache tu na hazifiki 5. Hakuna kitamkwa kilichopo katika lugha ya Kijerumani ambacho hakipatikani katika kiswahili...
4 Reactions
36 Replies
8K Views
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanaondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
9 Reactions
67 Replies
4K Views
#Hakika Jf ni mnyukano, Nami ni nani nisiunge mkono. Kilicho bora milioni tano, kuwa balozi si kibano. Nitashinda huu mtifuano, ukinipa hiyo yako tano. Kwa maandishi Ambatano, na hoja...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
2021年4月23日至4月26日,上海外国语大学东非研究中心主任、东方语学院斯瓦希里语专业负责人马骏老师,东非研究中心副主任、斯瓦希里语专业宁艺老师率领斯瓦希里语专业5名同学赴京参加“全国非洲语言教学研讨会暨首届中国高校非洲语言学科竞赛”,随后前往清华大学国际与地区研究院参加交流研讨活动。...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF Mneno mengi yenye mwitikio has yanaanza na 'si', mfano sitaki, sipendi, sijui nk. Lakini neno sijambo ni positive acknowledgement, kwanini tusiitikie 'nijambo'? Hebu tupeane...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukikiongea Kiswahili cha Kenya hadharani ukiwa Tanzania unaweza jikuta umeshushiwa kipigo heavy. Hii lugha inawapiga chenga sana. Tuendelee kuwasaidia ipo siku wataelewa.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani naomba kuuliza wahenga kuna anayestuka hata mmoja anapolisikia au kulisoma jina hili la TEKELO? na kama wapo na wanajua habari zake basi watufahamishe ni nani na historia yake ikoje,asanteni.
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Hodi hodi naingia, uwanjani kwa kishindo Ubaraza naufagia, machafu kuweka kando Watu wote shangilia, taratibu ndio mwendo Tumeyachoka makato, na gharama za mabando Piga makofi mengi kwa mshairi...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati...
17 Reactions
231 Replies
16K Views
Naomba kujua kiswahili Cha Cost Benefit Analysis Cost effectiveness Value for Money Cost effeiciency
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"Kunyambuka" inawezekana likawa siyo geni kwako mwanabodi, lakini Mimi kwangu ni geni .naomba ufafanuzi ndugu wataalamu wa lugha na msamiati wa Kiswahili. Kunyambuka nyambuka, ndiyo kufanyaje...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale walisoma Economics sentence hii ina maana gani? "While our crystall balls are cloudy" Asante
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa lugha, Na Mimi bwana nimebahatika kupata kashahada fulani kutoka moja ya vyuo vyetu vikongwe. kwahiyo ka-english ka hapa na pale kakuombea maji huwa ninako. Masomo ya english secondary...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Katika kuendelea kukumbushana vipengele mbalimbali vya lugha katika somo hili tutaangalia Mofimu na Viambishi huku tukipitia dhana ya mzizi na shina. katika andiko hili tutaanza...
1 Reactions
0 Replies
19K Views
(1) All the hell broke loose-the occurance of sudden noises,fighting,arguments,etc (2)Leave no stone unturned-doing what you can do to achieve something you want (3) Kick the bucket-die...
9 Reactions
164 Replies
19K Views
Msaada, nisaidieni wapi nitumie WHO na wapi WHOM. Nachanganya sana.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Leo tuendelee kujikumbushia masuala mbalimbali yanayohusu lugha. Baada ya kuangalia maana ya Virai na aina zake katika somo lililopita (Soma: Fahamu zaidi kuhusu Virai, muundo na...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
How can improve english speeking for free at home Give me a way to use
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Tafadhali sana hilo neno haliandikwi wala kutamkwa hivyo ila linasikika nna hiyo (kama kabudi alivyo litamka) wakati fulani akitoa hotuba nchini kenya wakati akiwa waziri wa mambo ya ncho n.k Na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom