Kiongozi mmoja wa Kiyunani (Kigiriki) aliitwa Alexander Mkuu, ndiye aliyefanya mabadiliko makubwa sana ya kueneza utamaduni wa Kigiriki eneo lo lote alilotawala.
Akaeneza na kuhimiza watu...
Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng...
1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu...
1. Kisado -- Bidhaa ni rangi ya nyumba, ya kampuni ya Sadolin. Walikuwa wakiweka kwenye makopo ya ukubwa fulani yaliyopachikwa jina la "visadolini" au "visado".
2. Kimbweta - Kiti na meza cha...
Nimeona katika jukwaa la lugha kuna “English learning thread” yaani uzi unaohusiana na kujifunza lugha ya English.
Nahisi itakuwa vyema wahusika wakaanzisha uzi mwengine wa kujifunza lugha ya...
Je Usahihi ni United Republic of Tanzania au Ni ""The United Republic of Tanzania.?""
Kwa Maana ""Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ""na Siyo ""Jamhuri ya Muungano Ya Tanzania.""? .... Karibuni
Nimevisoma kwa yakini kubwa sana vitabu hivi viwili baada ya kuvipata kwenye moja ya maduka ya vitabu hapa mjini. Vyote viwili vinaelezeya madhila ya Ujamaa; Kaptula la Marx linaelezea zaidi kwa...
Mtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?
Wanangu hamjamboni?
Sijui niuite usomi, ujinga, ukoloni wala sijui. Wakati akisoma utangulizi wa Kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Profesa Rwekaza Mukandala alishindwa mara mbili kutamka neno...
Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kuuliza nini maana ya maneno haya kama yanavyotumika hapa JF:
1. Chai ya moto
2. Chai ya tangawizi
3. Chai kavu
Nimeyaona yakitumiwa na wachangiaji wa nyuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.