Nasikia nimesikia kuwa kenya kuna kiswahili kuzuri, lakini mbona asilimia 80 ya ninaowasikia kuzungumza naona wanazungumza vibaya na kuandika pia.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mtu wa karibu kaachiwa hii note, ila imeandikwa kinyakyusa, hajui kukisoma akadhani mi najua; ila mi pia sifahamu.
Masaada basi kutafsili
Ngutufwa lelo jo nkinde
Ugwise gwa bololo
Umpela fyosa...
Jamani mimi napenda sana kingereza najifunza taratibu,naomba mnaojua mnirekebishe nilipokosea na upande gani unanisumbua zaidi natuma hiki kipande hapo chini
Leo katika kupita zangu mtandaoni nikakutana na Maswali mawili ambayo ni
~KATI YA BIBI YAKE MAMA NA MAMA YAKE BIBI NANI MKUBWA?~
~BABA YAKO NA BABA MKWE WAKO WANAITANAJE?~
SIKIA
Bissmillah naanza, kwa jina lake manani,
Kwa maneno nakufunza, na wala sina utani,
Umeshageuka funza,kutukuza ushetani.
Ewe kiumbe sikia, yalo mazuri chukua.
Unaliza waungwana, kwa kuupenda...
Wahenga walisema, “Ukitaka kujua njia ya mkato kula nauli,” "Usipopambana ujanani historia ya marehemu itakuwa fupi" na “Marehemu alizaliwa, akakua, akazura, akafa.”
Habari.
Nikiwa nafatilia vijana hapa waandishi wa habari ni jambo zuri kuwarithisha nyanja hii ya habari na kupata watangazaji bora huko mbele.
Kipindi kupitia UTV cha Morning Trumpet naona...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JF. Mimi mdogo wenu nipo mzima pia. Ukiangalia screenshots hapo chini, kuna baadhi ya majina nimefanya highlighting kwa rangi ya orange. Hizo surnames ndio...
Dikteta (kutoka Lat. dictator yaani mwenye kutoa amri kama imla) ni neno la kumtaja mtawala asiyebanwa na sheria na kutumia nguvu ya dola kuendeleza utawala wake na kutokubali upinzani dhidi yake...
Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na...
'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man'
Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani.
Jina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu.
1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam...
Sitaki hata kuanza na salamu..
Hili neno kwa mara ya kwanza nimelisikia kipindi cha msiba wa marehemu Magufuli likitumika sana kwenye media za kenya kama ktn, ntv.
Mapumziko kidogo. Siku za...
ZAMA ZA ZAMANI
Ilifika wakati zama za zamani zikarudi,
wala siyo vile vunubi makanisani
Bali mtindo wa maisha ya duniani
Ule ukweli ukawa uongo na uongo ukawa ukweli
Matendo ya mbinguni...
Habarini wadau..Najua tuko kwenye majonzi makubwa kama taifa,,But katika kuskiliza nyimbo,kuangalia movies za Marekani hasa zenye Black Americans Characters kama Ice cube,Kevin Hart,Wesley...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.