Ukiwa mmoja,i mean single song unaitwaje?
zamani tulifundishwa kuwa Nation anthem inaitwa Wimbo wa taifa lakini siku hizi watangazaji wengi huita "nyimbo" je ni kiswahili fasaha na kina baraka ya...
Habari zenu wana jf...
Nilikuwa naomba msaada kwa watalaam wa lugha ya kingereza kwani hivi sasa nimeanza kujifunza kiundani zaidi (i want to be deep) kwa hiyo unaweza ni-direct kwenye page...
Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja.
Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
Kama kweli unajua maana ya hizi kauli na unajua asili ya lugha,Mambo ya kukopa misamiati mfano shirt na shati.aliyetohoa lugha yetu Ni muingereza na mwingireza kwa kutumia ukoloni akatutengenezea...
Kama kuna wakati kiswahili kimejishushia hadhi kimataifa, ni kipindi hiki kwa kuwa na salaam ya utata. Nilimuonea huruma Palamagamba Kabudi akihutubia wageni waalikwa wa nchini na wa-kimataifa...
Jamani hakuna aliyekamilika ila sifa ya MTU apewe akiwa hai aisikie. Profesa Palamagamba Aidani Kabudi anajua kutamka matamshi ya lugha sana, kusoma kwa kufuata vituo zile nukta, mkato, koma...
Nimeona Mjadala sehemu kwamba tubadili tuite Amirat badala ya Amir, sababu amir ni kwa mwanaume na Amirat ni kwa mwanamke. Kwamba Mh. Rais, Samia Suluhu Hassan tumuite Amirati Jeshi Mkuu.
Nina...
Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu kiongozi wa kiume huitwa Amir na wakike...
Kwa wale wajuzi wa lugha yetu tofauti ya maneno hayo ni nini hasa?
Michango ya wadau
Hayati ni neno la kiarabu likimaanisha uhai, kwa hiyo mtu aliyekufa na kuacha Legacy yaani bado kuna vitu...
Nimekuwa nikisoma kwenye machapisho mengi hasa magazeti ya kila siku kuna makosa sana ya uandishi wa neno hili BAADAYE. Wengi huandika BAADAE hayo kwa mujibu wa kamusi ya TUKI ni makosa. Neno...
Hemed Kivuyo,acha kabisa kutumia neno 'Mwendazake' katika hali hii ya kuomboleza.Unalitumia peke yako tu,halina ladha wala taadhima katika kipindi hiki.
Wakuu nahitaji ku-apply chuo kwajili ya mdogo wangu, sasa hii statement nimeshindwa kuielewa vizuri. Ni muda mrefu sana tangu kufanya shughuli hii.
(The entry qualification for this programme...
1. Mwosha Huoshwa
2. Mficha Maradhi Kifo humuumbua
3. Malipo ni hapa hapa duniani
4. Mficha Uchi hazai ng'o
5. Siri ni ya Mmoja na si ya Wawili
6. Njia ya Muongo ni fupi sana
7. Lisemwalo lipo...
Kama Kuna Sehemu Kiswahili Kinani Piga Chenga ya Mwili,Basi Ni Hapa!
Hivi Ni:
a)Hili au Ili?
b)Ndio au Ndiyo?
c)Kwahyo au Kwaio?
d)Ila au Hila
e)Hata au Ata
Imesha kuwa chagizi ,
Maozi yana sumbuka,
Hata palo na uwazi,
Hatupawezi mufika,
Jifunuwe uwe wazi,
Tuone kwa uhakika,
Twakuomba jua toka,
yapate nuru.
Naombeni msaada wasomi nguli wa JF lili kupata maana au tafsiri ya maneno/ sentensi ifuatayo.
"There is a tide in the affairs of Men, which taken at the floods leads on to fortune"
Sina hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.